mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Punguza mihemko, kama mamlaka iliyotengua uteuzi haijaelezea sababu kwenye Barua rasmi ya Utenguzi, mimi ni nani mpaka nijue ya jikoni?Unaandika kama unakimbizwa, au umekimbilia kuweka habari ambayo haijielezi sababu za utenguzi wake! Tunahitaji kufahamu hayo na sio kusoma kichwa cha habari tu!
Acha uzwazwa mengine tafuta mwenyeweKwani ulitumwa kutuletea huku, basi ungeacha huko huko kwenye mamlaka iliyoteua na kutengua! Wewe ndio mwenye mihemko.
Ukiona mtu ameshindwa kutafuta mwenyewe, unashindwa nini kuelewa kuwa hana acess! Sasa wewe si mdukuzi, tutafutie.Acha uzwazwa mengine tafuta mwenyewe
Jamaa alikuwaga ubalozi Washington DCRais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh na kusema atapangiwa kazi nyingine. Rais Mwinyi ametengua uteuzi huo zikiwa zimepita siku 37 baada kumteua na kumwapisha 7 Novemba 2020.
Pia soma > Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amteua Suleiman Ahmed Salum kuwa Katibu wa Rais
View attachment 1649987
View attachment 1649988
Picha: Rais Mwinyi akimuapisha Suleiman Ahmed Saleh kuwa Katibu wa Rais
Pengine wamemuhisi Deep cover Agent.Jamaa alikuwaga ubalozi Washington DC
Atakuwa katoa siri ya yule mteule banyabulengePengine wamemuhisi Deep cover Agent.
Wamezoea ramli.Hahahahah nimependa jibu lako
Labda ndiye aliyemshauri kumteua yule mutu ya Burundi.Pengine wamemuhisi Deep cover Agent.
Tatizo anaeteua ana mihemkoTatizo ni aliyeteuliwa au anayeteua?
Mkuu sorry Dibibi ndio mdudu gani?Bila shaka ni ishu ya Dibibi
Hata mimi natamani kujua juu ya hiliMkuu sorry Dibibi ndio mdudu gani?