kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Nilichogundua atufahamiani, nilichogundua hakuna anayeteuliwa kwa sababu anafahamika na ana sifa bali anateuliwa kwa sababu anaonekana. Taasisi moja kuu nadhani imeshindwa kufuatilia nakupata taarifa za watu, au wanadata lakini awasikilizwi au wao wamekuwa wanajipendekeza wenyewe pale wanapoambiwa wapendekeze wateule.
Turudi kwenye basics za mwalimu......tuwafahamu watu kwenye vitengo vyao bila kujali vyeo vyao na kuwateua....Leo hii wapo watu Wana vyeo vidogo lakini ndio wanaongoza taasisi isipokuwa tu anayeonekana ni yule aliyepo juu.
Ukienda kwenye ofisi private au public Kuna key figure kila kitu ukiuliza unaambiwa muulize flani, shauriana na flan...nk