Zanzibar: Rais Mwinyi apandisha Pensheni kwa Wastaafu na Wazee

Zanzibar: Rais Mwinyi apandisha Pensheni kwa Wastaafu na Wazee

Mliyataka wenyewe, sasa mbona tena yanawashindaaaa?
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
 
Maraisi Waislamu wana huruma sana kwakweli.
Magu amewanyima wafanyakazi nyongeza ya mishahara ya mwaka (annual increments) kwa mwaka wa nane sasa.
Huu ni wizi wa pesa za wafanyakazi.
Asante Rais Samia Mwislamu, kwa kurudisha utaratibu wa miaka yote ambao Raisi wa mwisho kutoa nyongeza za mwaka ni Kikwete Mwislamu pia.
Maraisi Wakristo watupishe kwanza hadi wajifunze upendo kwa watu toka kwa Maraisi Waislamu.
 
Faida ya Znz wako wachache, ila wafanya kazi wakiwa wengi huwezi pandisha hivyo
Mwinyi anajitahidi, japo naamini anayoyafanya Zanzibar yanachagizwa na uchache wa wastaafu waliopo kule ukilinganisha na Bara, tena zaidi kama hiyo pensheni inawahusu wazee wenye miaka kuanzia sabini.

hata na pato lao pia ni chache ukilinganisha BARA, kwahiyo uchache wao bado sio hoja madhubuti, Hilo jambo hata bara linawezekanwa, Ila UPIGAJI ndio shida.
 
Back
Top Bottom