Zanzibar: Rais Mwinyi atengua uteuzi wa viongozi watano

Amewafuta kazi, siyo kutengua uteuzi.

Sujui kwanini huwa taarifa hizi hurembwa na neno "kutengua uteuzi" badala ya "kufukuza kazi", "kufuta kazi" au "kusitisha kazi/mkataba".
kilichofanyika ni kufuta uteuzi (cheo) hao wanaendelea kuwa watumishi wa Umma. Utaratibu wao wanaendelea kupokea mshahara wa vyeo vyao isipokuwa posho ya mafuta inatoka hadi kustaafu au wapate uteuzi mwengine.
 
Huyo ndio angekua rais wa jamhuri bhana sio huyu ruksa kula urefu wa kamba. RIP JPM
 
Bila shaka aliyekua mkuu wa mkoa wa Mwanza Albert Chalamila na mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya "walifukuzwa kazi" na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Shangazi yako ana double standard ,hili lakusema hatafukuza mtu ni akongea majuzi ata week mbili hazijafika,kwa ufupi shangazi yako hajui ashike lipi aache lipi.
 
Huyu naye kazi anayoiweza ni kuteua na kutengua, dikteta aliwaharibu sn hawa watu
 
Tumechoka tengua tengua ajikite kwenye kupunguza mfumuko Wa bei wa bidhaa, vitu bei juu Sana maisha ya wananchi yanazidi kuwa magumu.
 
Huyu naye watamkorona kama Jiwe, anaanza sifa za kijinga(kidikteta)
 
Huyo nae anahangaika na Jiwe staili mwishowe afe kwa stress kama Jiwe..

Anahangaika kulazimisha kupendwa kwa kuzalisha Chuki,hajifunzi kwa Samia? SSH hana ujinga wa kulazimisha watu wamkubali,wenyewe watamkubali kwa matokeo chanya.
 
safi kabisa rais mwinyi sisi huku tunarudisha matapishi yaliyotemwa na JPM kazi na iendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…