Zanzibar: Rais Mwinyi atengua uteuzi wa viongozi watano

Zanzibar: Rais Mwinyi atengua uteuzi wa viongozi watano

Nadhani huyu jamaa ndio Rais anayeongoza kwa kutengua watu duniani kwa sasa , Cha kushangaza sasa dhiki ya Wazanzibar iko palepale !
Wewe unaongelea chooni huku bara, unajuaje kinachoendelea huko?

Au kwa sababu na wewe ni muhanga?
 
Huyu mtalii anachapa kazi ya kutengua na kuteua tu

Anatanua, amepata kutawala mafala, Watanganyika. Yeye na washikaji zake na watoto wao wanazitumia kodi zetu bila huruma kununua V8, kuzawadiana Benzi.

Hana uchungu wowote. Bata kwa familia zao, kwenda mbele.

Umeme, maji, mfumuko wa bei, be za pembejeo, mikopo, ajira, haviwahusu. Ni matatizo yenu nyie Watanganyika. Sisi tunakula bata kama kawa.
 
Hata chadema ilipouzwa kwa Lowasa shida za wanachadema na kukosa ofisi zilibaki palepale mpaka leo
Duu! nje kabisa ya maada! Hakika una chuki mbaya sana na chadema, maana mtoa comment amejaribu amejaribu kuconnect dot za tenguatengua huko Zenji maana imekuwa habari ni hiyoiyo, haupiti mwezi utaskia mtu katenguliwa!
Hao wote yeye ndiye aliyewateuwa sasa hizo tit na tat kwanini a zinakuwa nyingi namna hiyo kanakwamba alikuta waliteuliwa na mtu mwingine?
Je haoni kuwa hali hiyo pia inamuonyesha hata yeye pia kuwa ana udhaifu katika teuzi anazofanya na kutengua kila siku? nashauri Mh. Mwinyi kama vipi aongeze wigo wa mamlaka au vyombo vya kushirikiana anapofanya teuzi, Hatukatai watendaji wabovu kuwajibishwa lakin pia awape muda wa kutosha kuna wizara nyingine ni pana mpka mtu aje aisome yote yataka muda!
 
Tusubiri, labda na wao wataambia wale kwa urefu wa kama zao, wajipimie, wasivimbiwe.

Hawatafukuzwa kazi hata wakifanya madudu mengi ya ajabu.

Tatizo lenu mnakula sana, mtavimbiwa…. jipimieni.
 
Huku kwetu mama alisema hawezi fukuza mtu ata wakifanya uthenge.
Siku ya leo, akiwa pale Magu mkoani Mwanza, "MAMA" amewatunuku nishani ya utumishi uliotukuka, kuwapongeza na kuwapandisha vyeo wakurugenzi wanne kutoka Buchosa, Iringa, Mbeya na Singida baada ya kutosimamia vema fedha za miradi.

Hakika mama yetu ameendelea kudhihirisha kwamba hawezi kufukuza.
 
Shangazi yako ana double standard ,hili lakusema hatafukuza mtu ni akongea majuzi ata week mbili hazijafika,kwa ufupi shangazi yako hajui ashike lipi aache lipi.
"Shangazi yangu" ameendelea kutokufukuza watu.


Hii nchi sijui hata tunataka nini masikini ya Mungu
 
Back
Top Bottom