Wewe unaongelea chooni huku bara, unajuaje kinachoendelea huko?Nadhani huyu jamaa ndio Rais anayeongoza kwa kutengua watu duniani kwa sasa , Cha kushangaza sasa dhiki ya Wazanzibar iko palepale !
Huko Zenji Mwinyi hajatoa rukhsa kula?
Huyu mtalii anachapa kazi ya kutengua na kuteua tu
Duu! nje kabisa ya maada! Hakika una chuki mbaya sana na chadema, maana mtoa comment amejaribu amejaribu kuconnect dot za tenguatengua huko Zenji maana imekuwa habari ni hiyoiyo, haupiti mwezi utaskia mtu katenguliwa!Hata chadema ilipouzwa kwa Lowasa shida za wanachadema na kukosa ofisi zilibaki palepale mpaka leo
Tusubiri, labda na wao wataambia wale kwa urefu wa kama zao, wajipimie, wasivimbiwe.
Hawatafukuzwa kazi hata wakifanya madudu mengi ya ajabu.
Siku ya leo, akiwa pale Magu mkoani Mwanza, "MAMA" amewatunuku nishani ya utumishi uliotukuka, kuwapongeza na kuwapandisha vyeo wakurugenzi wanne kutoka Buchosa, Iringa, Mbeya na Singida baada ya kutosimamia vema fedha za miradi.Huku kwetu mama alisema hawezi fukuza mtu ata wakifanya uthenge.
"Shangazi yangu" ameendelea kutokufukuza watu.Shangazi yako ana double standard ,hili lakusema hatafukuza mtu ni akongea majuzi ata week mbili hazijafika,kwa ufupi shangazi yako hajui ashike lipi aache lipi.