Zanzibar: Rais Samia alikutana na Viongozi wa ACT Wazalendo kwa mazungumzo

Zitto Kabwe ameoa Pemba bwashee!

Hoja ni mkutano wa SSH na wajumbe. Wajumbe walikuwa hawa:

1. Othman Massoud (Pemba)
2. Juma Duni Haji (Pemba)
3. Nassor Ahmed Mazrui (Pemba)
4. Salim Biman (Pemba)
5. Omar Said Shaaban (Pemba)

Yawezekana SSH alikuwa na wageni kutoka Pemba.
 
SIo ACT na CCM ni ndugu hapana .WaZanzibari na hasa wa kutokea Pemba huko wameshaifukuza CCM na zaidi CCM imeshafukuzwa Zanzibar tokea 1995 ,haipo ,,,,sasa ,wale CCM mnaowaona ni wachumia Tumbo hawana lao jambo ,Nina hakika Samia anaweza akawatia ndani wote na kuwafunga na kutaifisha mali zao.

Halafu inasemekana Samia anaipenda ACT japo sio mwanachama. Ndoa ipo CCM moyo upo ACT.
 
Halafu habari ya zamani sana.
Msitupumbaze tunahitaji KATIBA mupya ,hayo ya wazenji ni yao hayatuhusu.
 
Hiyo si sawa. Kumbe mh rais Kuna vyama anakutana navyo kwa usiri? Hiyo siyo njema.
 
Asanten Sana ACT maana nyie mnaweza kuwa wanasiasa wenye kujali amani hao wapumbavu CHADEMA wafutwe tu

Chama kimejaa magaidi
USSR
Hapo kinyme chake ndio kweli yaani hicho Chama ulichikitaja kuwakifutwe, kinatishia uhai wa like Chama ulichomo wewe!, Unakiogopa kishenziii!
 
Katika Hali ya kushangaza Chama Cha ACT Wazalendo kupitia Makamo wa Rais Zanzibar kimefichua kupata mwaliko wa kuonana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri Samia Suluhu Hassan.Hayo yamefanyika huku Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe alibambikwa kesi ya Ugaidi na wakuu wa Serikali wakionekana wazi wazi kuingilia mhimili wa Mahakama kuhusu kesi hiyo.

Ifuatayo ni habari iliyochapishwa na gazeti la Mwananchi Kama alivyonukuliwa Makamo wa Rais Zanzibar Othman Massoud.....

Rais akutana na ACT na kufikia muafaka huku akipiga danadana kuonana na CHADEMA

Makamo wa Rais Othman Massoud afichua Siri hiyo

Alisema walipata wito wa Rais Samia wa kuonana naye Unguja na alikwenda yeye, makamu mwenyekiti wa chama hicho, Zanzibar Juma Duni Haji na Naibu Katibu (Zanzibar), Nassor Ahmed Mazrui.

Wengine ni Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano kwa Umma wa chama hicho, Salim Biman na mwanasheria wa ACT-Wazalendo Omar Said Shaaban.

“Tukamueleza kuwa hatukukwama labda hatukueleweka. Tukamwambia njia na hoja zetu ni hizi kama tulivyoeleza Pemba hatuna cha kubadilisha.

“Tulifikia mwafaka kuwa watakwenda kukaa na kuchukua hatua, hatua ndiyo hii mliyoiona, operesheni imefanywa tumesema tulieleze hili pengine hakukuwa na haja ya kulizungumza. Lakini tunasema ili dunia itusikie,kama ni changamoto za kifamilia sawa,” alisema Othman.

Maoni ya Wananchi baada ya Rais kukutana na ACT kisiri Unguja

Ni vyema Ikulu ikaweka hadharani mazungumzo haya na kilichoamuliwa kwani Kama si Makamo wa Rais Zanzibar kufichua Siri isingejulikana.

Pili wananchi hasa upande wa bara wanaweza kuhisi upendeleo fulani wa kieneo kwa sababu kwanini Rais aende kisiri kukutana na ACT huko Unguja na kutatua mtanziko wa kisiasa lakini kwa upande wa Bara kiongozi wa Chama kikuu anafunguliwa mashtaka ya kubambika ya Ugaidi.

Kuna mambo mengi ya kujiuliza lakini Ni vyema Ikulu wakaondoa hofu hii mapema
Huyu mama mdini
 
Subirini wazNzibbara wawaonyooshe watanganyika...

Mmewaonea mno ni zamu yenu kuhenyeshwa na mwana taarabu wa Kizimkazi.
 
Anatengeneza kwao ,huku anatuvuruga. Zanzibar wana maridhiano ya kitaifa, huku hataki hata kusikia! Zanzibar walirekebesha katiba yao ili kuleta umoja wa kitaifa, huku hataki kusikia katiba mpya. Watanzania tuamke ,tukatae kugawanywa kwa manufaa ya Zanzibar
 
SIo ACT na CCM ni ndugu hapana .WaZanzibari na hasa wa kutokea Pemba huko wameshaifukuza CCM na zaidi CCM imeshafukuzwa Zanzibar tokea 1995 ,haipo ,,,,sasa ,wale CCM mnaowaona ni wachumia Tumbo hawana lao jambo ,Nina hakika Samia anaweza akawatia ndani wote na kuwafunga na kutaifisha mali zao.

Halafu inasemekana Samia anaipenda ACT japo sio mwanachama. Ndoa ipo CCM moyo upo ACT.

Inafahamika kwa miaka mingi sana CCM wanateswa na NZI wa Maalim Seif ambao aliwaingiza ndani ya CCM kwa miaka mingi sana, Mmoja wao ni huyu makamo wa raisi wa sasa ambae aliwahi kushika nyadhifa kubwa kubwa ndani ya serekali bila ya wenyewe CCM kumtambua.

Kuna kipindi pia habari ziliwahi kuvuma kua Mama alikua katika moja wa nzi wa Maalim Seif ndani ya CCM,
 
Asanten Sana ACT maana nyie mnaweza kuwa wanasiasa wenye kujali amani hao wapumbavu CHADEMA wafutwe tu

Chama kimejaa magaidi
USSR
Naona ama kweli bangi imekubali.
 
Back
Top Bottom