Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

Maji ya drop yako huku bara kwa wingi tangu aingia Samia ila ubora wake kidogo
 
Moja ya makosa makubwa sana aliyowahi kufanya Nyerere ni pamoja na hili. Hakuna muungano unaoufaidisha upande mmoja hata siku moja.
Muungano upi? Yaanu Hawaii waungane Marekani mainland? Inaleta hata akili hata kwa mtoto mdogo? Nasema ni swala la mda tu itakuwa taifa moja
 
Kweli kabisa na wazanzibar wanafanya haya maksudi kabisa ila wawaone watanganyika wata react vipi bahati mbaya watanganyika wenyewe ndio hivyo
 
Baada ya mapinduzi kufanyika John Okelo akamtangazia Karume arudi Zanzibar kuja kuongoza,
Karume alijificha Daresalaam Tanganyika.

Kama muungano hamuuthamini basi hata mchango wa Tanganyika ktk mapinduzi ya Zanzibar pia hamuuthamini?


Muungano wa hovyo kuwahi kutokea tangu Dunia iumbwe.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Yan haka kanchi haka? Kiburi cha nini?
 
Kwanini wazanzibari wakiingiza bidhaa bara wanalipishwa kodi?
Bora tu mwendelee kulipa kodi pumbavu, na hizo kodi ziongezwe maana akili zenu za kijanjaweed janjaweed tukiwaacha mtaingiza na mapanga nyie
 
Hii sio sawa kabisa ipo siku TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…