Zanzibar | Special Thread

Na taratibu zake za kumiliki ardhi zikoje kwa sisi ambao siyo Wazanzibari Wakaazi?

Natambua kwa upande wa Bara, ni pesa yako tu. Hakuna ubaguzi wowote ule kwa Watanzania wa pande zote za Muungano.

Mkuu ukiwa si mzanzibari sheria hazikuruhusu wewe kumiliki Ardhi, ila watu wengi wananunua Ardhi mana kipande cha mzanzibar hua kinapatikana kimichongo.

Ila nihatari mana serekali siku ikiamka vibaya unaweza kuja kupoteza mali zako mana ulizimiliki kinyume na sheria.
 
Kiongozi siku hizi guest bubu zipo kibao tu pale kisauni kuna wachaga wamefungua guest zipo kama tatu karibu karibu na bei ni nafuu sana mpaka elfu 5 kwa short time.

gharama zake zikoje mkuu
 
Kiongozi siku hizi guest bubu zipo kibao tu pale kisauni kuna wachaga wamefungua guest zipo kama tatu karibu karibu na bei ni nafuu sana mpaka elfu 5 kwa short time.

Na ni kisauni sehemu gani? ni karibu na Pale wanaita kwa mama Terry?
 
Na taratibu zake za kumiliki ardhi zikoje kwa sisi ambao siyo Wazanzibari Wakaazi?

Natambua kwa upande wa Bara, ni pesa yako tu. Hakuna ubaguzi wowote ule kwa Watanzania wa pande zote za Muungano.
Hata huku hakuna ubaguzi. Pesa yako tu
 
Unaongelea Zenj ipi mkuu?
 
Na taratibu zake za kumiliki ardhi zikoje kwa sisi ambao siyo Wazanzibari Wakaazi?

Natambua kwa upande wa Bara, ni pesa yako tu. Hakuna ubaguzi wowote ule kwa Watanzania wa pande zote za Muungano.
Na hata huku ni ivo ivo huulizwi chochote mradi uwe na pesa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…