Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Hii Mada ni nzuri kweli na mm ni mara nyingi napenda kwenda Zanzibar hasa wnangu wanapokuwa likizoZanziba imekalia kiutalii zaidi, yaani main target ni foreigners nje ya Tanzania. Stone town kuna guest houses za kumwaga.
Kwanini hawapendi mtanganyika apange kwenye nyumba yao? Kama wakikataa mtanganyika watampata nani? Wazanzibari hawana utamaduni wa kukodi nyumba wakiwa kwao. Huku mtu kakodi nyumba/chumba ikiwa anasoma chuo mfano. Venginevyo mtu hana pakukaa basi anakaa kwao tu
miaka ya nyuma nilienda na Mama watoto kweli Guest tulikosa mpaka tukafika Maghorofa mengi naona ndio Michungwani katiakati humo mwa maghorofa ndio tukakuta Guest moja na wenyewe wanaishi humo, baada ya maelezo wakatuelewa ni mtu na mkewe ndipo tukaishi siku 2 na kugeuza
hizi mara nyingine hatulali kwani tumeshaamini nyumba za wageni ni lazima uwe na cheti cha ndoa
Jamani km Stone town Guest za bei rahisi zipo tujuzeni maana Bwawani bei haishikiki