Zanzibar | Special Thread

Hii Mada ni nzuri kweli na mm ni mara nyingi napenda kwenda Zanzibar hasa wnangu wanapokuwa likizo
miaka ya nyuma nilienda na Mama watoto kweli Guest tulikosa mpaka tukafika Maghorofa mengi naona ndio Michungwani katiakati humo mwa maghorofa ndio tukakuta Guest moja na wenyewe wanaishi humo, baada ya maelezo wakatuelewa ni mtu na mkewe ndipo tukaishi siku 2 na kugeuza
hizi mara nyingine hatulali kwani tumeshaamini nyumba za wageni ni lazima uwe na cheti cha ndoa
Jamani km Stone town Guest za bei rahisi zipo tujuzeni maana Bwawani bei haishikiki
 
Umejibu kama unafukuzwa, soma uelewe.

Although kuishi au kuwa mkaazi wa unguja si kwamba unajua everything, you're nothing, nimekaa, kufanya kazi na hata biashara unguja vitu vingi unaonekana huvijui.
 
Yule mpemba ni muongo sana, anaongea uongo mbele ya watu wazima.

Anasema guest zipo nyingi!!.
Sisi wengine tushakuwa wenyeji, najua guest bubu nyingi tu na hazipo rasmi zile rasmi zipo pembezoni mwa mji.

Na nyingi ya hizo unakuta mtu alikuwa na familia ambapo watoto wamekuwa wamesepa arabuni au wapo Tanganyika so nyumba imebaki tupu wanaamua kupangisha na bei haizidi 10,000/- per night labda iwe self inazidi kidogo sana.
 
Guest za town nyingi target ni foreigners, so bei zao huwa ni za kigeni nazo. Ila kama unataka kukaa town, jaribu kuingia Airbnb.com anza kutafuta ambayo bei yake utaiweza.

Hizo guests zinazokuomba cheti cha ndoa sijajua ni za wapi, guest zinatumika sana kwa short time, maana huku kwetu sio wengi wanaolala guest
 
Umejibu kama unafukuzwa, soma uelewe.

Although kuishi au kuwa mkaazi wa unguja si kwamba unajua everything, you're nothing, nimekaa, kufanya kazi na hata biashara unguja vitu vingi unaonekana huvijui.
Naona nimekujibu point baada ya point ila wewe unaejua kila kitu hukuonesha kosa kwenye point nilizokujibu 😀
 
Sasa uongo uko wapi?

Huyo mpemba amesema guest house zipo nyingi, wewe unasema kuwa kasema uongo? kisha wewe uliekuwa mwenyeji unasema kuwa guests bubu zipo nyingi!

Sasa ndio unasema kitu ganio hapo? Unajisuta mwenyeo ulivosema kuwa guests hamna Zanzibar 😀
 
Kama ni town kuna guest ipo darajani ni 20000 na 25000 hamna masharti yoyote
 
Vitu vingi ulivyoandika hapa ni uzushi.

Zanzibar ya sasa wanaokodi nyumba au vyumba wengi wao ni wageni kutoka tanganyika. Kuna wafanyakazi wa mahotelini, waendesha boda boda, wauza magenge na bar. Machinga wanaopitisha vitu mitaani. Huku stone Town kuna maduka mengi ya wauza vinyago na vitu vya utalii na wauzaji na hata wamiliki wengi wao ni from Arusha, moshi au meru. Sasa unadhani wanaishi vp na wanakaa wapi!?

Mbona wengi wao tunawaona wapo miaka mingi tu. Na familia zao.

Nna uhakika walianza wachache..... Sasa tujiulize kwa nini wamekuwa wengi sana kama kweli zanzibar kuna ubaguzi wangeitana kweli kuja kuishi huku na kufanya biashara zao!!?
 
Ukifika Zanzibar kwa Mara ya kwanza utaitwa Mtanganyika na sio Mtanzania.

Yaani Hawa watumwa wakinyamwezi waliochunda na kushindwa kununulika utumwani na Kisha kubakia kisiwani Wana kaubaguzi flani ka kimfumo.. wasipokubagua kwa utaifa... Watakubagua kwa Dini.

Wanajiona waarabu kuliko waafrika ila ndo ndugu zangu.. ntafanyaje nawavumilia tu.

Aswaa Wanungwi wao wakisikia wewe m bara hata uwe na hela vipi hawakuozeshi mtoto wao. Kamwe!.


Lakini ndo binadamu ndivyo tulivyo wote wabaguzi tu.
 
Ukiona hivyo hata elimu kwao ni tatizo..ujinga na umasikini unawatafuna.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sasa mkuu kwani ulitaka kuchukua mzigo Nungwi?
 
Wana tabia ya kuwa zalisha dada zetu na kuwa telekeza na watoto, na hawa ruhusiwi kusema Kwa wazaz wao kama wamezaa nje ya ndoa, kwaiyo mtoto ata lelewa na mwanamke mpaka ata kuwa mkubwa hasimjue Baba yake na ndugu wa upande wa Baba yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…