Zanzibar The Next UAE /Dubai On Africa?

Zanzibar The Next UAE /Dubai On Africa?

Is Zanzibar Becoming the Next UAE/Dubai Of Africa?


  • Total voters
    2
  • Poll closed .

Light saber

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2017
Posts
4,368
Reaction score
7,935
Kwa uchache KWA kutizama megaprojects za Zanzibar... Kama
Ujenzi wa uwanja wa cricket wenye Thamani zaidi ya dola mil 30 .
Ukodishwaji wa Visiwa vyake KWA wawekezaji.(Uchumi wa buluu KWA ujumla)

Real estates projects.

Nk.
 
As long as wachamba wima wamejaa huko hata ikiwa kama dubai wanufaikaji watakuwa waarabu na wawekezaji wa nje huku wale wanaochapa viboko wenzao kisa wamekula hadharani wakati wa mfungo wa ramadhani wakiendelea kula halua na tende za misaada
 
Huo mkoa umebakiza miaka 40 kabla haujamezwa na maji! Hivo sioni haja ya serikali yetu kuendelea kuwekeza huko!
 
Back
Top Bottom