Kwa uchache KWA kutizama megaprojects za Zanzibar... Kama
Ujenzi wa uwanja wa cricket wenye Thamani zaidi ya dola mil 30 .
Ukodishwaji wa Visiwa vyake KWA wawekezaji.(Uchumi wa buluu KWA ujumla)
As long as wachamba wima wamejaa huko hata ikiwa kama dubai wanufaikaji watakuwa waarabu na wawekezaji wa nje huku wale wanaochapa viboko wenzao kisa wamekula hadharani wakati wa mfungo wa ramadhani wakiendelea kula halua na tende za misaada