Labda nikwambie tu... Ukanda wa Pwani ya Tanzania ya Sasa ndio ulikuwa kitovu cha Biashara na lango Kuu la Afrika yote, kutoka India na Mashariki ya Mbali kwenye Utajiru... Zanzibar imewahi kuwa Makao Makuu ya Utawala wa Oman ambao ulikuwa mkubwa kuliko Dubai kwa wakati huo, Mafia na Pemba zimewahi kuwa vituo vya Biashara vya Warumi
Na Kwa Taarifa Yako Sio tu Zanzibar ila Kuanzia Tanga Hadi Mtwara inarudi kwenye Ufalme wake...
Hivi Hamjiulizagi why Wachina Wanahangaika juu chini na wako tayari kutusikiliza ili tu wajenge Bandari ya Bagamoyo?
Why Total moved EACOP from Kenya to Tanga?