Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchafu gani?Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika. Unabaki kujifukiza je huu utamaduni Ni Jambo la kitamaduni au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
Kwa kiasi Fulani Tangu zamani kidogo mji ulikua mchafu, Ila kwa sasa inachangiwa zaidi na wageni wenye ngozi nyeusi ambao ni majirani zao wa karibu.Punde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika. Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kitamaduni au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
Utetezi wa ovyo kuwahi kuuona.Kwa kiasi Fulani Tangu zamani kidogo mji ulikua mchafu, Ila kwa sasa inachangiwa zaidi na wageni wenye ngozi nyeusi ambao ni majirani zao wa karibu.
Si jambo la kushangaza majiani humo kukuta mipira ya kiume iliyotumika,chupa tupu za ulevi,pempasi zilizotumika za watoto na akina mama pamoja na utiririshaji maji machafu, utemaji mate /makohozi ovyo katikati ya barabara, utupaji holela wa mawigi mambo ambayo yaliyokua adimu sana kipindi cha nyuma, lakini kutokana na mchanganyiko/ muingiliano mkubwa wa watu kila kitu kinaonekana sawa tu.
Sehemu nyingine ya kudhihirisha uchafu wa wazenji ni kwenye migahawa yao ya biashara; aisee wale watu ni wachafu, na wapumbavu (ni kama hufurahia vitendo vya uchafu).Utetezi wa ovyo kuwahi kuuona.
Tumekaa na Wazanzibar vyuoni. Duh! Hawa watu ni wachafu wa asili wala hutakiwi kwenda kwao kuthibitisha hilo. Mzenji anakwenda chooni ameweka maji ya kutawazia kwenye Chombo anacholia chakula, anakula mchana Chombo alichotumia atasuuza usiku atakapokwenda kuchukua chakula. Chuo kikuu kaangalie kitanda cha Mzenji.
Wachafu wakamudu kuvaa kanzu nyeupe?Waislam ni wachafu in nature.
hiyo ni mila na desturiPunde ukifika Zanzibar Kwa njia ya Ndege au boti utakutana na uchafu usiomithilika. Unabaki kujiuliza je huu utamaduni Ni Jambo la kitamaduni au ni nini? Tatizo Ni nn haswa?
Ni katika uongo uliokithiri/ uliozidi kiwango. Kwa bahati nimesoma Bara najua tabia za huko kwa hivyo hili kwako ingekuwa vyema ungenyamaza.Utetezi wa ovyo kuwahi kuuona.
Tumekaa na Wazanzibar vyuoni. Duh! Hawa watu ni wachafu wa asili wala hutakiwi kwenda kwao kuthibitisha hilo. Mzenji anakwenda chooni ameweka maji ya kutawazia kwenye Chombo anacholia chakula, anakula mchana Chombo alichotumia atasuuza usiku atakapokwenda kuchukua chakula. Chuo kikuu kaangalie kitanda cha Mzenji.
Umeongea ukweli wazanzibari huwa gawatenganishi vyombo vya jikoni na vya chooni,kuna ustaadhi mmoja chupni slibeba jagi la maji kwenda nalo chooni,tukamchenjis alivyotujibu sasa,eti mbona mdomo wako unaenda nao chooni na baadae unatafunia chakulaUtetezi wa ovyo kuwahi kuuona.
Tumekaa na Wazanzibar vyuoni. Duh! Hawa watu ni wachafu wa asili wala hutakiwi kwenda kwao kuthibitisha hilo. Mzenji anakwenda chooni ameweka maji ya kutawazia kwenye Chombo anacholia chakula, anakula mchana Chombo alichotumia atasuuza usiku atakapokwenda kuchukua chakula. Chuo kikuu kaangalie kitanda cha Mzenji.
Hivi mchafu ni nani hapa kati ya yule anayefanya haja kubwa na kutumia makaratasi au kigogo cha mti, anayekojoa na kukukuta na kuutia kwenye chupi na yule anayefanya haja hizo akajidagosha kwa kutumia maji?Waislam ni wachafu in nature.
Kuna mmoja naishi naye nyumba moja ya serikali na tunashea vyombo ila utamkuta na jagi la maji ya kunywa chooni akimaliza anarudi nalo ndani na hana hata wasiwasi.Hivi mchafu ni nani hapa kati ya yule anayefanya haja kubwa na kutumia makaratasi au kigogo cha mti, anayekojoa na kukukuta na kuutia kwenye chupi na yule anayefanya haja hizo akajidagosha kwa kutumia maji?
Unazungumzia dini? Tafadhali usifanye hivyo, sisi tunajua mengi ila tunaheshimu imani za wenine, vinginevyo endelea tu.