Zanzibar 2020 Zanzibar: Vikosi vya Usalama vyapiga mabomu ya machozi, wananchi wakimbia na kuacha mitaa ikiwa mitupu. Huduma za kijamii zasimama

itafika mda zenji hawatadai Tena haki kwenye uchaguzi wataanza kuongelea swala la Muungano.
Mpasuko wa muungano upo wazi kabisa. Baada ya huu uchaguzi tutatumia Jeshi si kulinda kura za maruhani bali sasa kuulazimisha muungano uwepo. Wazanzibari watafanya mapinduzi ya pili baada ya yale ya 1964 kudai upya Uhuru wao. Hussein Mwinyi iwapo atapewa urais haramu atalazimika kuikimbia Zanzibar kama alivyofanya sultani.
 
Wanatisha raia ili wamchague Mwinyi.
CCM haijawahi kushinda Urais Zanzibar hata siku moja.
 
Bado yule mzee wenu wa faragha akileta fyoko kesho atakiona
 
Vp hamjaingia tu mitaani au huwa mnaingia nyuma ya keyboards, ewe keyboard warrior? [emoji16][emoji23]
Usiwe na kiherehere kila kitu kipo kimahesabu ACT hawakurupuki kama mnavyotaka.
Polisi walichokipata pemba ni pashamoto tu au hujakisikia ni aibu ,sasa wanapita rezi kama ndege za kivita na kupiga mabomu na risasi ,ila hawasubutu kushuka na kutembea na miguu.
 
Hawataki kuamini kama hawatakiwi tena.
 
pale ambapo mtu anatafuta kuingia madarakani kwa nguvu ili aendelee kuwanyonya wananchi maskini huku yeye na familia yake wakineemeka
 
Mnaleta utani kwenye roho za watanzania, nyie ni laana ya hili taifa.

Naendelea kutazama picha za vijana waliouawa jana usiku na vikosi vya usalama, hali ni ya huzuni sana kwa wapemba.
Mkuu ebu naomba hizo picha kule pm
 
Kwani wewe uko wapi mpaka upige picha hizo na uzurure kwa uhuru hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…