Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
The Hague
The MIGA....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Hague
Utani uko wapi hapo?Mnaleta utani kwenye roho za watanzania, nyie ni laana ya hili taifa.
Mpasuko wa muungano upo wazi kabisa. Baada ya huu uchaguzi tutatumia Jeshi si kulinda kura za maruhani bali sasa kuulazimisha muungano uwepo. Wazanzibari watafanya mapinduzi ya pili baada ya yale ya 1964 kudai upya Uhuru wao. Hussein Mwinyi iwapo atapewa urais haramu atalazimika kuikimbia Zanzibar kama alivyofanya sultani.itafika mda zenji hawatadai Tena haki kwenye uchaguzi wataanza kuongelea swala la Muungano.
Marashi ya Pemba kwenye mauaji maana yake nini?Utani uko wapi hapo?
Pemba ni mji wa marashi au hulijui hilo!Marashi ya Pemba kwenye mauaji maana yake nini?
Acheni ubinafsi watu wanazika ndugu zao wasio na hatia.
Kivipi?Mwisho wa Zanzibar umefika rasmi
Bado yule mzee wenu wa faragha akileta fyoko kesho atakionaMnawaua halafu mtamtawala nani nyie vichaa? au mtayatawala mawe?!
CCM huu uhuni mnaowafanyia raia wa nchi yetu kwasababu ya uroho wenu wa madaraka sasa mnakoelekea siko.
Najiskia naanza kupoteza heshima kwa Mzee Mwinyi niliyekuwa nikimheshimu sana.
Picha zinaonesha majengo yamechoka, mji umepauka, lakini bado mashetani yanalazimisha kuendelea kuwatawala tu, waacheni wamuweke kiongozi wanayemtaka awaletee maendeleo ya kweli.
Wacha kelele zako, sasahivi umekuwa mji wa marashi ya damu za watanzania wenzetu wasio na hatia.Pemba ni mji wa marashi au hulijui hilo!
Usiwe na kiherehere kila kitu kipo kimahesabu ACT hawakurupuki kama mnavyotaka.Vp hamjaingia tu mitaani au huwa mnaingia nyuma ya keyboards, ewe keyboard warrior? [emoji16][emoji23]
Hawataki kuamini kama hawatakiwi tena.Mnawaua halafu mtamtawala nani nyie vichaa? au mtayatawala mawe?!
CCM huu uhuni mnaowafanyia raia wa nchi yetu kwasababu ya uroho wenu wa madaraka sasa mnakoelekea siko.
Najiskia naanza kupoteza heshima kwa Mzee Mwinyi niliyekuwa nikimheshimu sana.
Picha zinaonesha majengo yamechoka, mji umepauka, lakini bado mashetani yanalazimisha kuendelea kuwatawala tu, waacheni wamuweke kiongozi wanayemtaka awaletee maendeleo ya kweli.
Mkuu ebu naomba hizo picha kule pmMnaleta utani kwenye roho za watanzania, nyie ni laana ya hili taifa.
Naendelea kutazama picha za vijana waliouawa jana usiku na vikosi vya usalama, hali ni ya huzuni sana kwa wapemba.
Endelea tu kusema. Mtu wenu keshajitia kitanzi cha ICC, subiri sana ndo mtaelewa maharage ni mboga au kiungo!Bado yule mzee wenu wa faragha akileta fyoko kesho atakiona
Duhhh....[emoji50][emoji54]Ile sindano ya sumu aliyonayo dotto james mtoto wa magufuli anapaswa kuchomwa huyo mzee ili apumzike kwa amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kumpiga Lisu kwenye box la kura ni kujitia kitanzi cha ICC?Endelea tu kusema. Mtu wenu keshajitia kitanzi cha ICC, subiri sana ndo mtaelewa maharage ni mboga au kiungo!