Zanzibar 2020 Zanzibar: Vikosi vya Usalama vyapiga mabomu ya machozi, wananchi wakimbia na kuacha mitaa ikiwa mitupu. Huduma za kijamii zasimama

Hapa kura hazijapigwa !!. Wakipiga je ?!. Yoote hii ili watu maalumu wapakie kura ?
 
Inaweza kuwa hivihivi huku Bara hapo kesho.

Yaani FFU watamwaga kila kona hasa maeneo ambapo kunahisiwa kuwa na strong opposition kuhakikisha kila mtu anarudi kwake baada ya kupiga kura ili wafanye yao bila bugudha.

Walishasema kwamba “watatumia Dola kuendelea kukaa madarakani” na hakuna uwezekano wowote wa TUME kuwatangaza watu wengine tofauti na Mwinyi na Magufuli.
 
Safi sana, maana MS alidhani Serikali imechapa usingizi, kuendelea kuishi kwa MS ni hasara kwa Zanzibar
 
jana polisi waliwakimbizwa na raia leo zamu ya maraia kukimbizwa na polisi, yaani burudani kweli kweli
 
Haitusumbui, hakuna atakaeishi milele, tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja. Kwa ukombozi wa vizazi vyetu vijavyo kesho lazima tupige kura na kulinda kura zetu. Imetosha kwa kweli lazima tufanye maamuzi magumu saivi ili vizazi vyetu vijavyo viishi vizuri na kwa amani
 
Kama wanaleta ujinga wasife kwanini? Na wewe peleka pua hiyo uone
Sawasawa mtatuua wote Ila jueni tu ya kuwa na nyie mwaka huu lazima muishie ICC. Mmeionesha dunia ni kwa jinsi gani malalamiko ya watanzania dhidi yenu ni sahihi. Jiandaeni tu, hakuna udhalimu unaachwa mwaka huu
 
Asubutuuu, ukimaliza kuota nenda ukalale. Utumwa ulishafutwa Zanzibar na ilishakombolewa. Tanzania ipo imara haiwezi kugawanywa na vibaraka wa Oman
 
NAKUPA SIKU SABA TU ,kama hukufa utaumwa sana,take my words.
Hahahaha, pimbi mkubwa. Tunahitaji wanasiasa wanaoshindana kwa hoja na si kusababisha taharuki. Hata wewe kuendelea kuishi ni hasara kwa taifa.
 
kuwarushia mawe askari wakiwa kazini waachie waparestina na wayemen huku tutawatoboa mafuvu yenu kwa risasi....Hata Amerika watu wajinga wasiojua ustaarabu wanapigwa risasi tu..
 
Una uhakika Afrika Kusini amani inatawala hadi leo?
 
Sawasawa mtatuua wote Ila jueni tu ya kuwa na nyie mwaka huu lazima muishie ICC. Mmeionesha dunia ni kwa jinsi gani malalamiko ya watanzania dhidi yenu ni sahihi. Jiandaeni tu, hakuna udhalimu unaachwa mwaka huu
ICC hawana habari na pimbi ka wewe
 
kuwarushia mawe askari wakiwa kazini waachie waparestina na wayemen huku tutawatoboa mafuvu yenu kwa risasi....Hata Amerika watu wajinga wasiojua ustaarabu wanapigwa risasi tu..
Si unakumbuka wale pimbi waliojikusanya WH, waliweka mpaka vihema, walipigwa kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…