Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hapa kura hazijapigwa !!. Wakipiga je ?!. Yoote hii ili watu maalumu wapakie kura ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajifanya hujui mauaji mbayofanya Zanzibar huko eeeh??? Subirini tuYani kumpiga Lisu kwenye box la kura ni kujitia kitanzi cha ICC?
Kama wanaleta ujinga wasife kwanini? Na wewe peleka pua hiyo uoneUnajifanya hujui mauaji mbayofanya Zanzibar huko eeeh??? Subirini tu
NAKUPA SIKU SABA TU ,kama hukufa utaumwa sana,take my words.Safi sana, maana MS alidhani Serikali imechapa usingizi, kuendelea kuishi kwa MS ni hasara kwa Zanzibar
Haitusumbui, hakuna atakaeishi milele, tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja. Kwa ukombozi wa vizazi vyetu vijavyo kesho lazima tupige kura na kulinda kura zetu. Imetosha kwa kweli lazima tufanye maamuzi magumu saivi ili vizazi vyetu vijavyo viishi vizuri na kwa amaniInaweza kuwa hivihivi huku Bara hapo kesho.
Yaani FFU watamwaga kila kona hasa maeneo ambapo kunahisiwa kuwa na strong opposition kuhakikisha kila mtu anarudi kwake baada ya kupiga kura ili wafanye yao bila bugudha.
Walishasema kwamba “watatumia Dola kuendelea kukaa madarakani” na hakuna uwezekano wowote wa TUME kuwatangaza watu wengine tofauti na Mwinyi na Magufuli.
Sawasawa mtatuua wote Ila jueni tu ya kuwa na nyie mwaka huu lazima muishie ICC. Mmeionesha dunia ni kwa jinsi gani malalamiko ya watanzania dhidi yenu ni sahihi. Jiandaeni tu, hakuna udhalimu unaachwa mwaka huuKama wanaleta ujinga wasife kwanini? Na wewe peleka pua hiyo uone
Asubutuuu, ukimaliza kuota nenda ukalale. Utumwa ulishafutwa Zanzibar na ilishakombolewa. Tanzania ipo imara haiwezi kugawanywa na vibaraka wa OmanMpasuko wa muungano upo wazi kabisa. Baada ya huu uchaguzi tutatumia Jeshi si kulinda kura za maruhani bali sasa kuulazimisha muungano uwepo. Wazanzibari watafanya mapinduzi ya pili baada ya yale ya 1964 kudai upya Uhuru wao. Hussein Mwinyi iwapo atapewa urais haramu atalazimika kuikimbia Zanzibar kama alivyofanya sultani.
Hahahaha, pimbi mkubwa. Tunahitaji wanasiasa wanaoshindana kwa hoja na si kusababisha taharuki. Hata wewe kuendelea kuishi ni hasara kwa taifa.NAKUPA SIKU SABA TU ,kama hukufa utaumwa sana,take my words.
ICC hawana habari na pimbi ka weweSawasawa mtatuua wote Ila jueni tu ya kuwa na nyie mwaka huu lazima muishie ICC. Mmeionesha dunia ni kwa jinsi gani malalamiko ya watanzania dhidi yenu ni sahihi. Jiandaeni tu, hakuna udhalimu unaachwa mwaka huu
Si unakumbuka wale pimbi waliojikusanya WH, waliweka mpaka vihema, walipigwa kinoma.kuwarushia mawe askari wakiwa kazini waachie waparestina na wayemen huku tutawatoboa mafuvu yenu kwa risasi....Hata Amerika watu wajinga wasiojua ustaarabu wanapigwa risasi tu..
Ni shem Amsterdam !Ukiona wanazingua usikubali kamanda chukua mawe kawapige ffu Kaka amstedamu atakutetea
Wewe jamaa kigagula nn?NAKUPA SIKU SABA TU ,kama hukufa utaumwa sana,take my words.
nenda wewe uvae fulana ya CCM kama kichwa chako hukikuta sokoni kinauzwa watu wanywe supu.Kama wanaleta ujinga wasife kwanini? Na wewe peleka pua hiyo uone
Unalindaje kura huku umekaa mita 200 nje huko na kura zinahesabiwa ndani?...lazima tupige kura na kulinda kura zetu. Imetosha kwa kweli lazima tufanye maamuzi magumu saivi ..