Zanzibar 2020 Zanzibar: Vikosi vya Usalama vyapiga mabomu ya machozi, wananchi wakimbia na kuacha mitaa ikiwa mitupu. Huduma za kijamii zasimama

Vituoni si kuna mawakala wa vyama vyote...huu ujinga wa kukaa vituoni baada ya kupiga kura mnatafuta vilema vya bure na kufanya Diclopar (dawa ya maumivu) ziwe adimu madukani...
 
Yaani unaleta picha za saa nane usiku kuhalalisha mawazo yako. Ficha ujinga wako.
 
Unafurahia raia kuteswa na dola? Siku yakukute ndio furaha yako itatimia vizuri! Wajinga Kama wewe ndio wanaowaharras raia wasio na hatia Kisha mnachekelea!
Sasa ni wakati wa kulipiza kwa wanaccm mitaani. Nao wanapaswa waumie kama Serikali yao ifanyavyo kwa raia wema.
 
Moja kati ya vitu vilivyomtesa mkapa ktk utawala wake ni mauaji ya watu wasio na hatia zenji, badala ya kujutia alitakiwa kutubu kabla mauti haijapita nae, naona jiwe nae anapita mule mule hajifunzi ktkana na makosa ya mwenzake.
 
Hilo liko wazi Mkuu. Askari wanaou raia huko wametoka Bara. Hivyo hawana uchungu na Wazanzibari. Baada ya kuifuta ccm Kisiwani humo kifuatacho sasa ni kuufuta Muungano.
 
Hahahahahaha. Nlikua nasikia wazanzibar wako ngangari kumbe mdebwedo tu. Askari 20 mnahama mtaa je wangekuja 1000 c mngekimbilia uhamishoni. Pigeni kura kwa aman wazanzibar
 
kwanini wanatumia nguvu sana kubaki madarakani, wakubali kuwa wame expire
 
Unalindaje kura huku umekaa mita 200 nje huko na kura zinahesabiwa ndani?
Uliza ilifanikiwaje uchaguzi wa mwaka 2010 Nyamagana??? 2015 Mbeya mjini, Kilombero, Tunduma, Momba, Arusha Mjini na Kawe????

Au Wewe ni mgeni kwenye kufuatilia chaguzi za Tanzania??
 
Hakuna hiyo nguvu ya umma. Seif na wafuasi wake Walisema leo kuranhazitapigwa, imekuwa kinyume chake, kura zinapigwa na hakuna tena wa kuleta ujinga
Lkn haviwezi shinda umma,vipi na bara je Askari watatosha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…