Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vituoni si kuna mawakala wa vyama vyote...huu ujinga wa kukaa vituoni baada ya kupiga kura mnatafuta vilema vya bure na kufanya Diclopar (dawa ya maumivu) ziwe adimu madukani...Inaweza kuwa hivihivi huku Bara hapo kesho.
Yaani FFU watamwaga kila kona hasa maeneo ambapo kunahisiwa kuwa na strong opposition kuhakikisha kila mtu anarudi kwake baada ya kupiga kura ili wafanye yao bila bugudha.
Walishasema kwamba “watatumia Dola kuendelea kukaa madarakani” na hakuna uwezekano wowote wa TUME kuwatangaza watu wengine tofauti na Mwinyi na Magufuli.
Kivipi mkuu?Mwisho wa Zanzibar umefika rasmi
Sasa ni wakati wa kulipiza kwa wanaccm mitaani. Nao wanapaswa waumie kama Serikali yao ifanyavyo kwa raia wema.Unafurahia raia kuteswa na dola? Siku yakukute ndio furaha yako itatimia vizuri! Wajinga Kama wewe ndio wanaowaharras raia wasio na hatia Kisha mnachekelea!
Kwn wewe uko wapi mpaka upige picha hizo na uzurure kwa uhuru hivo.
Hilo liko wazi Mkuu. Askari wanaou raia huko wametoka Bara. Hivyo hawana uchungu na Wazanzibari. Baada ya kuifuta ccm Kisiwani humo kifuatacho sasa ni kuufuta Muungano.Mpasuko wa muungano upo wazi kabisa. Baada ya huu uchaguzi tutatumia Jeshi si kulinda kura za maruhani bali sasa kuulazimisha muungano uwepo. Wazanzibari watafanya mapinduzi ya pili baada ya yale ya 1964 kudai upya Uhuru wao. Hussein Mwinyi iwapo atapewa urais haramu atalazimika kuikimbia Zanzibar kama alivyofanya sultani.
Si unakumbuka wale pimbi waliojikusanya WH, waliweka mpaka vihema, walipigwa kinoma.
sio kauli, Tatizo ni kwamba CCM imejiridhisha kuwa kwenye sanduku la kura Maalim Seif ni mshindi.He he! Tatizo ile mikauli ya viongozi inafanya vyombo husika viwe active sana
Kivipi mkuu?
Uliza ilifanikiwaje uchaguzi wa mwaka 2010 Nyamagana??? 2015 Mbeya mjini, Kilombero, Tunduma, Momba, Arusha Mjini na Kawe????Unalindaje kura huku umekaa mita 200 nje huko na kura zinahesabiwa ndani?
Lkn haviwezi shinda umma,vipi na bara je Askari watatosha?He he! Tatizo ile mikauli ya viongozi inafanya vyombo husika viwe active sana
Hayo mabomu yakowapi hapo mkuu.
Jiwe ni muumini wa kupiga na sio majadilianoTulionya tukapuuzwa
Hahaha hahahhaa Mtaaani Mchezooo huwa wanakuwa Wamevimbewa Hawa na UhuruVp hamjaingia tu mitaani au huwa mnaingia nyuma ya keyboards, ewe keyboard warrior? [emoji16][emoji23]
Lkn haviwezi shinda umma,vipi na bara je Askari watatosha?