Ma hii ndio maana ya utalii haswaa yani unakuwa unavaa tamaduni za watu fulani kwa muda.Safi sana. Utalii ni habari nyingine na mavazi ni habari nyingine, watalii wanapaswa kuheshimu mila, tamaduni na desturi za maeneo wanayotalii. Ndio maana nchi za wenzetu wanalinda sana taratibu, desturi na mila zao na bado utalii uko pale pale.
Serikali ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua wamiliki wa hoteli ambao wageni wao watatoka hotelini wakiwa hawajavaa nguo za stara. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale amewataka wageni hasa watalii kutovaa nguo zinazokiuka maadili wawapo maeneo ya umma, mfano sokoni.
Chanzo: Swahili Times
Tena wanapendeza Mashallah!. Utalii sio kutembea uchi. Hata Saudi Arabia, Dubai utalii upo lakini hawatembei uchi.Ma hii ndio maana ya utalii haswaa yani unakuwa unavaa tamaduni za watu fulani kwa muda.
Acha wazungu wavae kama wazanzibari
Rafiki zangu walifanya kazi Arabuni nako walitakiwa kufanya hivyo. Kwenye compound mnayoishi unatembea unavyotaka lakini kwenda mjini na madukani ni lazima ufunike kichwa mwanamke na nguo istiri maungo. Wanaume pia huwezi kutembea tumbo wazi.
Kuhamasisha utalii sio kuacha watu watembee uchi.Halafu baadae utasikia anasema anahamasisha utalii Zanzibar.
Hakuna mtalii anatembea uchi.. kama yupo tuambie... wale wana taratibu zao na hela zao, nyinyi mnataka hela zao, ni lazima mnyenyekeeKuhamasisha utalii sio kuacha watu watembee uchi.
Safi sana. Utalii ni habari nyingine na mavazi ni habari nyingine, watalii wanapaswa kuheshimu mila, tamaduni na desturi za maeneo wanayotalii. Ndio maana nchi za wenzetu wanalinda sana taratibu, desturi na mila zao na bado utalii uko pale pale.
Dubai wanatembea uchi mkuu, au uchi unakusudia uwe kama mnyama? na huko Saudia wamelielewa hilo ndio mana wameanza kufungua ma night club na matamasha ya muziki ili kukuza utaliiTena wanapendeza Mashallah!. Utalii sio kutembea uchi. Hata Saudi Arabia, Dubai utalii upo lakini hawatembei uchi.
Ombi kwa SMZ, watoe vipaumbele kwa wafanyabiashara wafungue maduka ya kuuza mavazi ya kujistiri maeneo ya Bandarini na Airport ili watalii wakifika bandarini na Airport waweze kununua khanga, madera na vitenge ili kujistiri.
Unakusudiwa kama hivi. Mbona Zanzibar watu wanavaa vipensi hata vimini n.k. Hakuna anaelazimishwa kuvaa dela wala baibuiHuyo waziri nae boya tu, utamlazimisha mtu avae ambavo hajazowea? Mtu kazoea kuvaa vipensi wewe utake avae madera inaingia akilini kweli hiyo?
Hizo nguo za stara watakuwa nazo?Huyo waziri nae boya tu, utamlazimisha mtu avae ambavo hajazowea? Mtu kazoea kuvaa vipensi wewe utake avae madera inaingia akilini kweli hiyo?
Ngoja waondoke mtawatafuta kwa tochi, hafu mtawaambia waje waishi kwa uhuru wanaoutakaSafi sana. Utalii ni habari nyingine na mavazi ni habari nyingine, watalii wanapaswa kuheshimu mila, tamaduni na desturi za maeneo wanayotalii. Ndio maana nchi za wenzetu wanalinda sana taratibu, desturi na mila zao na bado utalii uko pale pale.
kweli mambo ya Kale..Serikali ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua wamiliki wa hoteli ambao wageni wao watatoka hotelini wakiwa hawajavaa nguo za stara. Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale amewataka wageni hasa watalii kutovaa nguo zinazokiuka maadili wawapo maeneo ya umma, mfano sokoni.
Chanzo: Swahili Times