Zanzibar wana vitu gani vya kujivunia ukiachana na fukwe na utamaduni wao?

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Tanganyika kuna mengi ya kujivunia ukiachana na viongozi butu wasio na maono wala hekima.

Lakini, swali langu kama linavyojieleza hapo juu, wenzetu wazanzibari wana kipi cha kujivunia tofauti na fukwe nzuri ya bahari, utamaduni wa kuvutia, labda, na muungano na Tanganyika?
 
Kwanza wazuri, wana upendo, wana bandari, wana utalii, hakuna asili ya roho mbaya, wanawake wanajitambua na wanaheshimu wanaume zao, wanaishi kiasili, wana dini ambayo inawaungisha na hakuna mvutano wa dini nyingine,
Jamaa wana upendo haswaa lkn ni wao kwa wao
 
Wanajivunia pia yale Magofu yao ya Mji Mkongwe, na kutawaliwa na Waarab wa Oman.
 
Kwanza wazuri, wana upendo, wana bandari, wana utalii, hakuna asili ya roho mbaya, wanawake wanajitambua na wanaheshimu wanaume zao, wanaishi kiasili, wana dini ambayo inawaungisha na hakuna mvutano wa dini nyingine,
unawajua uamsho mkuu
 
zanzibar hamna maisha kule ndio mana wote wamekimbilia bara kuna wachache ndio wanapambana wana hamu ya kutawaliwa tena na waarabu wamemis
 
kule kuzuri wewe tamaduni moja hata bara tuwe na tamaduni moja tena ya kisukuma😄😄😄au kihaya itapendez
 
mkuu umefika lakini au umesimuliwa mi nimeishi kule kumejaa umaskini kama watu wa mkoa wa lindi
naunga mkono hoja Kule wamejaa umaskini na life la kuunga unga tatizo Wana uswahili mwingi,ujinga na ubinafsi + udini
Hivyo vitu vinawachelewesha imagine kipindi mahotel yanaanza jengwa shamba kama Kule Nungwi,pwani mchangani,mangapwani na sehemu nyingi Unguja kusini wazawa Hata hawakujishughulisha kutafuta job opportunity eti kisa kazi ya Mahotelia ni kazi ya makafiri ikalazimika wajuba Toka bara wakapate fursa Kule na imagine kimo Cha chini Cha mshahara Kwenye Mahoteli ni 3K na vi tip vya hapa na pale utaweza save Kwa mwezi Hadi 7K maana Kuna hotel nyingine kama sea cliff ni free food and bed Kwenye bungalows kama huna majukumu mengi utaweza save Kwa mwaka Pesa ndefu upate mtaji ila wavivu wale ndio wamekuaja amka siku hizi washachelewa Sana!
Hivi wakojani mna Nini vichwani mwenu?
😁😁😁😁
 
Bahari
Lugha ya kiswahili (wao ndio wenyewe halisi, na kiswahili safi kinapatikanwa huko)
rich history
wao ndio walioanza kuustaaribika, na walistaaribika kitambo sana

hayo ni machache tu
 
naunga mkono hoja Kule wamejaa umaskini na life la kuunga unga tatizo Wana uswahili mwingi,ujinga na ubinafsi + udini
Hivyo vitu vinawachelewesha imagine kipindi mahotel yanaanza jengwa shamba kama Kule Nungwi,pwani mchangani,mangapwani na sehemu nyingi Unguja kusini wazawa Hata hawakujishughulisha kutafuta job opportunity eti kisa kazi ya Mahotelia ni kazi ya makafiri ikalazimika wajuba Toka bara wakapate fursa Kule na imagine kimo Cha chini Cha mshahara Kwenye Mahoteli ni 3K na vi tip vya hapa na pale utaweza save Kwa mwezi Hadi 7K maana Kuna hotel nyingine kama sea cliff ni free food and bed Kwenye bungalows kama huna majukumu mengi utaweza save Kwa mwaka Pesa ndefu upate mtaji ila wavivu wale ndio wamekuaja amka siku hizi washachelewa Sana!
Hivi wakojani mna Nini vichwani mwenu?
😁😁😁😁
Hata diaspora wa zenji wanajuana wao kwa wao, CCM ingewapa nchi yao wapunguze manung’uniko wakiamua kurudisha 🇴🇲 madarakani haya watajuana
 
Back
Top Bottom