Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya kuandika ungeisoma historia na jografia ya Zanzibar , naamini usingeandika hii.Tanganyika kuna mengi ya kujivunia ukiachana na viongozi butu wasio na maono wala hekima.
Lakini, swali langu kama linavyojieleza hapo juu, wenzetu wazanzibari wana kipi cha kujivunia tofauti na fukwe nzuri ya bahari, utamaduni wa kuvutia, labda, na muungano na Tanganyika?