I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Jamaa wana upendo haswaa lkn ni wao kwa waoKwanza wazuri, wana upendo, wana bandari, wana utalii, hakuna asili ya roho mbaya, wanawake wanajitambua na wanaheshimu wanaume zao, wanaishi kiasili, wana dini ambayo inawaungisha na hakuna mvutano wa dini nyingine,
yeap ila ugabuzi kwa wengine sisi tulisoma nao chuo wanakaaa kweny mstari mmoja seats zote group la presentation wanakuwa pamoja wana msemo wao wa bara wana roho mbaya sanaJamaa wana upendo haswaa lkn ni wao kwa wao
unawajua uamsho mkuuKwanza wazuri, wana upendo, wana bandari, wana utalii, hakuna asili ya roho mbaya, wanawake wanajitambua na wanaheshimu wanaume zao, wanaishi kiasili, wana dini ambayo inawaungisha na hakuna mvutano wa dini nyingine,
yeapunawajua uamsho mkuu
kule kuzuri wewe tamaduni moja hata bara tuwe na tamaduni moja tena ya kisukuma๐๐๐au kihaya itapendezzanzibar hamna maisha kule ndio mana wote wamekimbilia bara kuna wachache ndio wanapambana wana hamu ya kutawaliwa tena na waarabu wamemis
mkuu umefika lakini au umesimuliwa mi nimeishi kule kumejaa umaskini kama watu wa mkoa wa lindikule kuzuri wewe tamaduni moja hata bara tuwe na tamaduni moja tena ya kisukuma๐๐๐au kihaya itapendez
naunga mkono hoja Kule wamejaa umaskini na life la kuunga unga tatizo Wana uswahili mwingi,ujinga na ubinafsi + udinimkuu umefika lakini au umesimuliwa mi nimeishi kule kumejaa umaskini kama watu wa mkoa wa lindi
Hata diaspora wa zenji wanajuana wao kwa wao, CCM ingewapa nchi yao wapunguze manungโuniko wakiamua kurudisha ๐ด๐ฒ madarakani haya watajuananaunga mkono hoja Kule wamejaa umaskini na life la kuunga unga tatizo Wana uswahili mwingi,ujinga na ubinafsi + udini
Hivyo vitu vinawachelewesha imagine kipindi mahotel yanaanza jengwa shamba kama Kule Nungwi,pwani mchangani,mangapwani na sehemu nyingi Unguja kusini wazawa Hata hawakujishughulisha kutafuta job opportunity eti kisa kazi ya Mahotelia ni kazi ya makafiri ikalazimika wajuba Toka bara wakapate fursa Kule na imagine kimo Cha chini Cha mshahara Kwenye Mahoteli ni 3K na vi tip vya hapa na pale utaweza save Kwa mwezi Hadi 7K maana Kuna hotel nyingine kama sea cliff ni free food and bed Kwenye bungalows kama huna majukumu mengi utaweza save Kwa mwaka Pesa ndefu upate mtaji ila wavivu wale ndio wamekuaja amka siku hizi washachelewa Sana!
Hivi wakojani mna Nini vichwani mwenu?
๐๐๐๐