Zanzibar 2020 Zanzibar: Wananchi Walalamikia Majina yanayoenda kupiga kura ya mapema, wawakana

Zanzibar 2020 Zanzibar: Wananchi Walalamikia Majina yanayoenda kupiga kura ya mapema, wawakana

Serikali ya CCM inafanya mambo ya kijinga bila aibu. Yani utadhani mapepo na yameshindwa kudeliver yanang'ang'ania kubaki madarakani.

Yanaudhi kupita maelezo
Hii hali kuna siku itatugharimu kwa jina la "tunalinda na kuenzi muungano!"
 
Hili bango linaonyesha ubaguzi wa aina fulani. Mleta bango unachosema ni nini - eti Zanzibar na Pemba - hakuna wasiokuwa Waislamu!? Ni kweli hicho unachosema au unadhani Unguja na Pemba hakufikiwi na watu wengine kiasi cha kuchangamana? Wale wanaolima kwa mikataba na tayari ni wakazi wa huko hawawezi kuwa hivyo na kuwa na haki ya kupiga kura za mapema? Tuache kutafuta vijisababu vya kushindwa mapema!
Mpiga kura maalum aliyezaliwa 1949 anafanya kazi gani serikalini?Naye bado ni askari wa kulinda Amani 28/10/2020?
 
Mpiga kura maalum aliyezaliwa 1949 anafanya kazi gani serikalini?Naye bado ni askari wa kulinda Amani 28/10/2020?
HUyo ana miaka 71 tu! Unashangaa nini? Watu mmekariri mambo ya kustaafu at 60, hayo kwingine ni namba tu ndugu!
 
Back
Top Bottom