Zanzibar 2020 Zanzibar wapiga kura ya mapema. Makundi yanayoshiriki ni Watumishi wa ZEC na Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Oktoba 27, 2020)

Zanzibar 2020 Zanzibar wapiga kura ya mapema. Makundi yanayoshiriki ni Watumishi wa ZEC na Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Oktoba 27, 2020)

Sheikh Ponda atoa maelezo jinsi ya kujihami na Polisi wasiojulikana "Chupa Petroli na Utambi"
 
Polisi atoke kupiga mabomu ya machozi kwenye mkutano wa chadema au ACT WAZALENDO alafu aende kwenye box la kura akampigie lisu au maalim?.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
Kura ni siri gwanda zisikutishe!
unaweza kuta wanampigia Seif hao ama Lissu
 
Kura imeshapigwa tayari na masanduku yamehifadhiwa sehemu salama.
Hakuna kilichopigwa bali wamehalalisha Wizi wao, huko masanduku yanakorejeshwa ndio wanaenda kutia Kura za Wizi. umenisoma?
 
Raisi wa Burundi amempongeza Magufuli kwa Wizi mnono wa Kura
 
Polisi atoke kupiga mabomu ya machozi kwenye mkutano wa chadema au ACT WAZALENDO alafu aende kwenye box la kura akampigie lisu au maalim?.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
Kuna kazi na kufata amri!
na inner conscious....
 
kula zilizoibiwa leo zinatosha kabisa kumtangaza yule 'gavana' wa Tanganyika mshindi apo zanzibari
 
ACT Wazalendo na CHADEMA Zanzibar kama kupiga wote tunapiga Leo Leo kama ni kesho wote kesho

Ukoloni sasa basi!
Ushapiga Hiyo Kura au ndio Mzeee Wa kupigia kwenye Keyboard hahahah
 
Nadhani hao ni wabara waliokuja kuokoa jahazi la CCM! Hapo ndipo sasa lile bao la mkono lilipo.
 
Time will tell
Yes let time Tell when we are Stable ambako hakutakuwa na madharavkuwaachia wapinzani nchi lakini sio sasa Manonyesha wazi mtavurugaa kabisa nchii hii onayoenda kuwa economic super power ya East Africa....subirini kwanza tuwaandalie mazingira mazuri CHAGUA MAGUFULI
 
Tunawatakia kila la Kheri Wazanzibari katika uchaguzi wao leo.
 
Hakuna kitu Kama hicho.
Kwanini wao wanapiga Leo na wasipige kura Kama watu wengine?.
Hizo kura zao zinakaguliwa kwanza.kama zipo za maalim wanazipoteza.
Kuna kazi na kufata amri!
na inner conscious....
 
Back
Top Bottom