Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Your browser is not able to display this video.
Akitoa elimu ya kupinga vitendo vya udhalilishaji huko Kinyasini Wilaya ya Kaskazini A, Sadiki amesema hali hiyo inawaathiri zaidi baadhi ya wasichana wanaodaiwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile kukwepa kupata ujauzito, hivyo amewaasa kuacha tabia hiyo.
Wakuu mmesikia mbinu za mabinti😎
Soma Pia: