Kakke
JF-Expert Member
- Dec 4, 2010
- 1,883
- 1,482
[h=1]
[/h]
Na Haji Mtumwa,Zanzibar
TUME ya Mabadilikoya Katiba imeshauriwa kuzipa uwezo wakumiliki Bank Kuu nchiwashirika wa Muunganowa Tanzania ili kuzifanyakuwa na uhuru wamatumizi ya kibenkiambayo yatawawezesha kukua kwa uchumi waokwa haraka.
Ushauri huo umetolewa na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Katiba lililoandaliwa na Jumuiya ya Vijana Elimu na Maadili Zanzibar (ZAYEM) wakati wakijadili rasimu iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania.Walisema kuwa ni vyema Tume ikaona kuwapo kwa umuhimu mkubwa wakuziachia nchi washirika kwa Muungano, ziwezekuwa na Bank Kuu badalaya jukumu hilo kupewa Serikali ya Muungano peke yake.
Mwalimu Aleiy ambayeni mjumbe wa baraza hiloalisema kuwa tume kuipaumilikiwa Bank KuuSerikali ya Muungano si jambo la busara, kwanialifahamisha kuwakufanya hivyo ni sawana kuzinyima uhuru nchiwashirika katika masuala ya kifedha.Alisema kuwa uamuzi huo wa tume kwa kiasi fulani unaweza kuleta ucheleweshaji wa uchumi kwa nchi washirika kutokana na kubanwa na Serikali ya Muunganokatika masuala yao yaki uchumi ambayo yanategemea fedha.
Aidha Wajumbe haowakichangia rasimuhiyo walipendekeza kwatume ya mabadiliko yakatiba kuzipa uwezo nchi washirika kilammoja atumie fedhayake katika nchi yao ilikuondosha msongano wamaingiliaona ya kifedha.Walisema kuwa hatuahiyo itaziwezesha nchi washirika wa Muungano kujitegemea katika kukuza uchumi wao kwa kuwa na fedha yake badala ya kuwapo kwa fedha ya pamoja kwa nchi zote.
Tunaamini wazi kuwakila nchi mshirika waMuungano wa Tanzaniaakatumia fedha yakekatika nchi yake kwakiasi fulani itasaidia sana katika kutafautisha nchina nchi badala ya kuwapokwa fedha ya pamoja,walisema wajumbe hao.Masoud Saleh akiwasilisha kazi za vikundi alisema kuwa ni vyema kwa Tume ya mabadiliko ya katiba ikaliondoa suala la Polisi kuwa la Muungano na badala yake suala hilo kuwa la nchi washirika.Alisema kuwa kazi kubwa ya Jeshi la Polisi ni kulinda raia na mali zao, hivyo ni vyema tume ikaona kuwa ili nchi washirika kuwa nguvu katika utawala wao hakuna budi suala hilo wakapewa wao badala ya kuwapo kwa Serikali ya Muungano.
Kwa kuwa Jeshila Polisi linakwenda sambamba na mahitaji ya wananchi hivyo tunashauri kwa tume suala hilo wakaachiwa nchi washirika hasa ukaangalia kila mmoja atakuwa na katiba ya nchi yake, alisema Masoud.Alifahamisha kuwa pindi suala hilo likaachiwa Serikali ya Muungano,inawezekana likatoa huduma kinyume na malengo yao