green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
- Thread starter
-
- #441
Waeleweshe haya Magaidi ya kiyahudi ni majinga na mabinafsi sanaHilo halina shida, ila sio kwenye nchi za watu unataka kuwapangia watu namna ya kuishi.
Mamlaka za nchi hazina tatizo na hilo la mwenye gari kuweka itikadi zake kwenye gari, wewe wa kuja unamletea shida? Tena nawashangaa sana nyie watu mnaowashabikia hii ni dharau kubwa sana kwetu mgeni kujipa mamlaka nchini kwetu.
Hiyo sasa ni Ant Semitism! Na inaonekana huenda kwa kujua ni Waisraeli,meneja amebandika stika hiyo ili kuwaudhi.Lakini hata kama walichukia wasingetimuliwa ndani ya Hotel.
Tuwe makini tusije kuharibu soko letu la Watalii.
Ukiigusa Israel umeigusa US,UK,umegusa nchi za jumuia ya Uraya,EU!
Zinaweza kuzuia hayaishi ya free Palestina
Mwenye Hotel ni mzungu watu wenye akili hao na kuthamin utu usiumie sana nduguyangu hao jamaa hakuna nchi inawapenda ni misukule tu ya waafrika wasiojitambuaKufukuza watalii kwa kuhoji vipi hapo? Wako kwenye vita na Palestina.Hapo hotelini waweza hisi kuna wapiganaji wa palestina kwa hiyo mrseji ya free Palestine. Hoteli iliyakiwa kutumia hekima kuwa slogans zozote au magari yenye maneno kama hayo yasiingie hotelini au wenyewe wayabandue
Hapo ni sehemu ya biashara
Inaweza kuwa sio kweli maana wakaazi wengi wa Arusha customer care ni kama wanaozaliwa nayo tofauti na hao wala urojo.Umepiga penyewe. Kuna hoteli moja Arusha(sijafika, nimesimuliwa na rafiki yangu), wao wameamua kuwajaza Wakenya mpaka walinzi wa getini baada ya kuona kuwa Watanzania "wanazingua".
Unaambiwa hiyo hoteli mpaka walinzi wa getini wanao uelewa wa "customer care", na wanapractice effectively.
Mambo kama haya yanatokea kwa watu ambao wanahitaji kujiambia kuwa wameshinda katika mjadala. Wewe jifanyie lolote linalokufanya kujisikia mshindi hakuna anayekuzuia.Nina uhuru wa kujikita katika jambo lolote au uhuru wangu wakukarahisha ? Na kama hakuna hoja sipaswi kukuambia hakuna hoja ?!
Sijaingia katika mjadala kusaka ushindi dhidi yako.Mambo kama haya yanatokea kwa watu ambao wanahitaji kujiambia kuwa wameshinda katika mjadala. Wewe jifanyie lolote linalokufanya kujisikia mshindi hakuna anayekuzuia.
Ndo akili yako inavyokutuma. Unahitaji ushindi ndo maana unakomaa na majibu.Sijaingia katika mjadala kusaka ushindi dhidi yako.
Hakuna faida yoyote nayopata mpaka kuona ushindi kitu cha maana sana kwangu
Unatetea Magaidi wa KiyahudiNi bendera tu hazina maneno yeyote .Hilo gari lingekuwa na bendera tu bila maneno tena iko ndani ya gari wasingelalamika
Shida hayo maneno.Sasa mfano una tension ya kukodisha unaweka bingo free Palestine. Hivi unategemea nini?
Magari mengi hata maduka huwa na maneno ya dini lakini ya heri sio shari ya kivita.Maneno kama Mungu bariki biashara yangu nk
Kuweka hayo ya Free Palestine hapana
Hayo ya ushindi wewe ndio uliyoyaleta hapa wenda ndicho unacho pigania.Ndo akili yako inavyokutuma. Unahitaji ushindi ndo maana unakomaa na majibu.
Nimekuambia vizuri tu, kama hatuelewani endelea na mambo mengine ila unakazanaa, mara haki, sijui hoja. Hahaha. Mkuu embu endelea na mambo mengine, tujadili mengine hili acha lipite.
Baada ya kusema hunielewi, nikakwambia kama huelewi basi tuachane na hii hoja ukaja na mambo ya hakuna hoja, una haki sijui za kusema hakuna hoja basi tu ilimradi uendelee na majadiliano hata kama hakuna sababu tena.Hayo ya ushindi wewe ndio uliyoyaleta hapa wenda ndicho unacho pigania.
Mbona haulewekiNi gari ya manager, host wa hao wageni, mwenyeji wao, na huyo Manager ana access na file la booking za hao wageni, ambao passport yao ni ya Israel, kuwa kama mtu mwenye akili.
Katika biashara usiruhusu mteja kuja na masharti yake yeye ndiyo anatakiwa kufuata vigezo na masharti pale alipofuata huduma na kama anaona hawezi anatafuta sehemu itakayompendeza bila hivyo ipo siku atakwambia hataki watu wa jamii fulani waje hapo au mavazi ya aina fulani hataki au chochote kingine anachoona hakimpendezi yeye,hiyo si kuvutia wateja bali utakuwa utumwa.Ulipoenda ni mbali na hoja.Tufanye biashara kwa weledi zaidi na si kuongozwa kwa historia,simulizi au kulishana chuki.Tofautisha kuwa mnyonge na kuwa mweledi.
Komenti ya huyu jamaa ni ya kijinga.Unatetea Magaidi wa Kiyahudi
Uk, America, na nchi nyingi hizo zinazoitwa za kimataifa wananchi walifanya maandamano huku wakiwa wameshika mabango yalioandikwa free Palestine. London Bridge ilitaka ku fall down kwa uwingi wa watuHiyo sasa ni Ant Semitism! Na inaonekana huenda kwa kujua ni Waisraeli,meneja amebandika stika hiyo ili kuwaudhi.Lakini hata kama walichukia wasingetimuliwa ndani ya Hotel.
Tuwe makini tusije kuharibu soko letu la Watalii.
Ukiigusa Israel umeigusa US,UK,umegusa nchi za jumuia ya Ulaya,EU!
Zinaweza kuzuia Watalii wasije.
Hawakujua kuwa Zanzibar ni taifa la magaidiZanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
๐จ๐ฎ๐ฑ๐ต๐ธ FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844
Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.
The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Soma uzi wote ujifunze tulichojadili.Kwa hiyo mfano kwako hauwezi kuweka bango linalozuia ushoga, kwa kuhofia kuwakwaza mashoga? Na je mbona sehemu nyingi hubandikwa picha ya Yesu ilihali hata waislam huhudumiwa hapo?
Pamoja na imani na maadili yako,unapaswa utumie akili.Emotions unaacha nyumbani mtu wangu.Kwa hiyo mfano kwako hauwezi kuweka bango linalozuia ushoga, kwa kuhofia kuwakwaza mashoga? Na je mbona sehemu nyingi hubandikwa picha ya Yesu ilihali hata waislam huhudumiwa hapo?
Pia watashangaa sinza ,wakikuta kuna eneo linaitwa Palestina. Ukijikweza kwenye hii dunia utapata tabu sanaWatashangaa wakikutana na bajaji na mabus yenye picha za Osama Bin Laden
We jamaa unafaa kuwa mwanasiasa unakwepa sana hoja aisee.Pamoja na imani na maadili yako,unapaswa utumie akili.Emotions unaacha nyumbani mtu wangu.
Tatizo watu wametanguliza makobazi mbeleHotel au sehemu yenye kutoa huduma kwa watu wenye itikadi, imani, maono mchanganyiko unawekaje vitu vitakavyowakwaza? Kutokujielewa huko na kuharibu biashar