Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Historia ya kuanzishwa kwa taifa la israeli mwala 1947 hata ukiingia Google utasoma. mbona siyo siri mkuu? Na wayahudi kuja palestina mbona ipo wazi sana. Nilianza kusikia huu mgogoro pale wayahudi walipotangaziwa kuundwa kwa taifa la israeli.
 
Attachments

  • dgnszzn-afdbb450-b37c-4bbd-943b-bbc5197bc934.jpg
    138 KB · Views: 2
Wewe unajuaje huyo manager ni Mtanzania?

Unaoteaotea mambo tu, huna taarifa za kutosha na unabahatisha bahatisha tu ilimradi upinge.
 
Historia ya kuanzishwa kwa taifa la israeli mwala 1947 hata ukiingia Google utasoma. mbona siyo siri mkuu? Na wayahudi kuja palestina mbona ipo wazi sana. Nilianza kusikia huu mgogoro pale wayahudi walipotangaziwa kuundwa kwa taifa la israeli.
Kwa hiyo,hadi umri huo ukasomeshwa/kupigwa sound kwamba Izraeli ilianza kama taifa mwaka 1947?Kweli?Sir John Roberts of all the people!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hoja ni kwamba,tumeandikiwa maneno..."after complaining "..!Swali ni,Je,complaining tafsiri yake kwa kiswahili ni nini?
-ni kulalamika AU
-kuleta fujo?
Wangetupa ufafanuzi zaidi kwa ajili ya afya ya sekta ya utalii.
Sisi watanzania kwetu mtu kulalamika ni sawa na kuleta fujo. Sisi ukifanyiwa chochote hata kama kimekuudhi, ukiulizwa vipi unasema "safi tuu". Wenzetu wanajua haki zao na wanapoona zinakiukwa hawakai kimya, sisi tunawaona wakorofi.
 
Kwahiyo wangetokea wageni wengine wakasema tuko concerned na usalama wetu kwasababu room number 3 na 4 kuna waisrael ingekuwa sawa management ya hotel kuwaondoa hao waisrael ili hao wageni wengine wasiwe concerned ?

Mnakuwa mnakula matope ambayo yanafanya msiwaze sawasawa?
 
Laiti ungalijua nachofanya ungeelewa, mimi naenda nje ya nchi kila mwaka kufanya promotions za utalii, ngoja niishie hapo.
Kama mtu kama wewe kweli huwa unafanya promotion za utalii nje ya nchi, basi ndiyo maana tuna vivutio luluki lakini hatuna watalii. Ila siamini hata kidogo. Mtu mwenye exposure na elimu nzuri hawezi kuwa na ubongo fyongo kama wa kwako. Mimi ni mkristo, ila kitendo cha kusema huyo meneja yuko sahihi, tayari kimekufanya uniweke kwenye kundi la dini ya kiislam? What a stupid way of analysing things!
 
Laiti ungalijua nachofanya ungeelewa, mimi naenda nje ya nchi kila mwaka kufanya promotions za utalii, ngoja niishie hapo.
Unaweza ukawa unaenda lakini hujui unachofanya pia...

Promotion na yule anayetoa service direct unahisi nani anachangamana zaidi na mgeni, ukipata jibu utaelewa
 
Wewe unajuaje huyo manager ni Mtanzania?

Unaoteaotea mambo tu, huna taarifa za kutosha na unabahatisha bahatisha tu ilimradi upinge.
Kama umesoma nilichoandika pale awali,niliomba wangetoa ufafanuzi kuhusu neno "complaining " ili tujifunze kwa upana wake na tusilaumu.
 
Hiyo sasa inaonyesha Zanzibar mna mizuka ya kidini?
 
Hotel au sehemu yenye kutoa huduma kwa watu wenye itikadi,imani,maono mchanganyiko unawekaje vitu vitakavyowakwaza?Kutokujielewa huko na kuharibu biashara.
huyo meneja wa hotel ni mpuuzi aelimishwe biashara yenye kuhitaji wateja mchanganyiko haiendeshwi kwa mihemko ya kushabikia magenge ya kigaidi/kisiasa/kidini na mengine mengi yawe huru. Biashara inataka uwe unavutia kila mteja, usiwaudhi wateja
 
Kwahiyo hotel ime exist all these years and it keeps receiving clients huku staff wake wakiwa hawana mafunzo ya kukirimu wateja kiuweledi?

Au wote waliokaa hapo sio wateja ila hayo magaidi mauaji ndio wateja pekee?
 
Hayo maneno yanawaumiza nini ? Yanakufanya ukose usingizi? sasa mnarukaruka, kwahiyo kungekuwa na bendera tupu wasingekuwa concerned ? ndivyo walivyokwambia?

Mnatetea mijitu mizandiki na mikatili kwasababu kwenu ni taifa teule?
 
Kwahiyo hotel ime exist all these years and it keeps receiving clients huku staff wake wakiwa hawana mafunzo ya kukirimu wateja kiuweledi?

Au wote waliokaa hapo sio wateja ila hayo magaidi mauaji ndio wateja pekee?
Who knows?Imekuwa bahati habari hii imetufikia kupitia media.Hatujui mangapi hutokea.Na vilevile hatujui ni kwa kiwango gani watalii wetu nao wana malalamiko/complains!Funny enough,unaweza kukuta walioleta habari hiyo walidhani/walitarajia kuuonesha umma kwamba hoteli zetu zipo makini na zinawaadabisha watalii.Kumbe the vice versa is on the way!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…