Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya.
Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana ila nyie raia mngekuwa mbali sana. Hiyo treni ya mwendokasi ingekuwa inafika Mwanza, tozo zisinge kuwepo, watu wasingeruhusiwa kula mali za umma kwa urefu wa kamba zao n.k.