Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Hakuna mtanganyika mwenye mapenzi mema na nchi hii angetuletea Fisadi na mafisadi kuja kuitafuna nchi tuliyoijenga wote kwa jasho la Watanganyika tangu miaka ya 70.Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya.
Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana ila nyie raia mngekuwa mbali sana. Hiyo treni ya mwendokasi ingekuwa inafika Mwanza, tozo zisinge kuwepo, watu wasingeruhusiwa kula mali za umma kwa urefu wa kamba zao n.k.

John Pombe Joseph Magufuli ANAENDELEA kuishi japo hatupo naye kimwili....Huyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya.
Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana ila nyie raia mngekuwa mbali sana. Hiyo treni ya mwendokasi ingekuwa inafika Mwanza, tozo zisinge kuwepo, watu wasingeruhusiwa kula mali za umma kwa urefu wa kamba zao n.k.
Sa100 hana sifa za kuwa rais, anaweza kuwa mjumbe wa nyumba 10 sio rais.John Pombe Joseph Magufuli ANAENDELEA kuishi japo hatupo naye kimwili....
He was a really zealout son of our nation ,May his soul rest in eternal peace ,amen !!
His gratitude to his home country led us to have two Presidents who are really devoted to their fellow countrymen ,Her Excellency President of the URT Dr. Samia Suluhu Hassan and His Excellency President of Zanzibar Dr.Hussein Mwinyi [emoji7][emoji7][emoji2956][emoji2956]
We thank Almighty God [emoji7][emoji7]
#Nchi Kwanza [emoji7]
Ondoa neno genius kaka ni kulikosea heshima weka Atleast mshambaHuyu Genius Magufuli japo simpendi maana aligoma kuuza bandari lakini aliwasaidia sana Wazanzibari. Mifumo ya Zanzibari ilimtaka Nahodha lakini JPM akampiga panga akawapelekea Mwinyi, huu ukawa mwanzo wa Zanzibar mpya.
Genius Magufuli angeendelea kuongoza hii nchi sisi mafisadi tungeteseka sana ila nyie raia mngekuwa mbali sana. Hiyo treni ya mwendokasi ingekuwa inafika Mwanza, tozo zisinge kuwepo, watu wasingeruhusiwa kula mali za umma kwa urefu wa kamba zao n.k.
Mshamba ni wewe na ukoo wenu.Ondoa neno genius kaka ni kulikosea heshima weka Atleast mshamba