Zanzibar: Waziri wa Fedha aelezea sakata la Mbunge Toufky Turky, asema amekamilisha kulipa ushuru wa Marcedes Benz G Wagon, ampongeza

Hahahaha...sasa wewe watakudaka halafu watashikilia kiinua mgongo..chako...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ntakufaaa nifufuke tena kwa mshtuko [emoji1]
Mkuu usiseme hivyo basi
Maana jana pension schemes karibu zi collapse ila tumeponea chuchupu
 
Ntakufaaa nifufuke tena kwa mshtuko [emoji1]
Mkuu usiseme hivyo basi
Maana jana pension schemes karibu zi collapse ila tumeponea chuchupu
Pension schemes za bongo hizi wanazokulioa 33% halafu 66% wanakupa kwa style ya pension? Ni bora ukatengeneza michongo mingine ya mipunga uvute hiko chuma maana hapo kwa haraka haraka si chini ya 600m utahitaji kuilaza halafu umepaki zako mtoto anakuja kuichuna rangi na kisoda...🤣🤣🤣
 
Mkuu ya huko wala nisingeisubiri hata kama mfanyakazi wa serikali
Mimi niko nje na muanguko huo ni uk
Haha eti aichune na kisoda
Tena sio mtoto bali jitu zima kwa husda

Hilo ndinga la 2022 iliyotembea 1000km ni $800,000 ila mimi ntachukua la miaka 15 nyuma mzee
Sio mbaya na haikanyagi huko
 
Hakutoa fedha bali aliwadhamini kwa mali kauli.
 
Na hicho sasa cha kulipa gharama za ndege iliyombeba Lissu kwenda Nairobi, alandamwa mpaka umauti ukamfika.

Magufuli alikuwa ni SHETANI mwenye jicho Moja na pembe kichwani
 
Na hicho sasa cha kulipa gharama za ndege iliyombeba Lissu kwenda Nairobi, alandamwa mpaka umauti ukamfika.

Magufuli alikuwa ni SHETANI mwenye jicho Moja na pembe kichwani
Sasa kiko wapi? Na ushetani wake wote wajuaji wamemtanguliza kuzimu na Sasa anatandikwa mijeledi tu na kutupwa motoni.
 
Tshs 498,462,891 ndo ilete kodi 308,500,000? Mbona kama kuna kitu sikielewi hapa?

Hii nchi inanyonga sana uchumi wa raia wake. Jasho la mtu lakini serikali INAKWAPUA zaidi ya 40% ya jasho hilo.

Ndo maana CCM haitoki madarakani kwa sababu viongozi wake wanaficha siri kubwa ya unyonyaji wanaoufanya kupitia sheria walizozipitisha wao
 
Ndio sababu magari mapya na mazuri yananunuliwa na serikali tu.
 
Tshs 498,462,891 ndo ilete kodi 308,500,000? Mbona kama kuna kitu sikielewi hapa?

Hii nchi inanyonga sana uchumi wa raia wake. Jasho la mtu lakini serikali INAKWAPUA zaidi ya 40% ya jasho hilo
Hiyo Kodi ni almost 62% 🙄
 
Kodi TZ ni sawa na lile onyo la Mmakonde "uchiteme, uchimung'unye, wala uchimeche. Uchitema nchale, uchumungunya nchale, na uchimecha nchale". Ukileta mpya kodi juu. Ukileta nzee unalipa kodi za kawaida za thamani ya gari na unaongezewa kodi nyingine ya uchakavu. Hakwepi ntu hapo.
 
Full of doubts
 
Tatizo hakuna ajira za kuingiza kipato na kodi serikalini
Ubunifu zero na elimu zero pia

Shahada zao za kukariri hapo serikali na wasomi hawachekani na wanabaki kutafuta hela kwa nguvu kama bandarini na hata tozo za kila aina

Tuliaminishwa na yule jamaa kuwa kuna viwanda kila kona ila hatujasikia wafanyakazi wa hivyo viwanda wanalipa kodi kiasi gani na wamefanikiwa na nini [emoji38]

Vijana nao wamekuwa kama disabled tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…