Zanzibar ya kale

Zanzibar ya kale

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
IMG_7927.png
Unajua Zanzibar ya kale enzi izo ikiwa pamoja na Oman Sultanate kwa pwani yote ya Tanzania zilikuwa nazo kuanzia Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara hadi ndani kidogo?

Which means kama ingebaki hivyo bila Ujeruman kuja; hao wanaotaka kujitenga, Zanzibar, wangetuibia access ya bahari kabisa.😳😳😳
 
Back
Top Bottom