Zanzibar inahitaji kupata "UHURU" kutoka kwa "MKOLONI" Chama Cha Mapinduzi, bado wapo kwenye utawala wa kikoloni, kujikwamua kutoka katika mikono hatari ya CCM ndio nusura yao pekee.
Hakuna cha Masauni wala Nahodha wala Kapteni, au lasivyo maisha yao yatabakia kua vile vile.
Kuhusiana na watu kinasaba SI dhambi...HAKUNA aombae kuwa na udugu na fulani.Naona Watu mnaotoka katika hizi Familia Tatu za akina Mwinyi, Jumbe na Karume sasa mnajitokeza na huu Uzi unawachoma kweli kweli. Poleni!!!!
Nadhani huu mtego alotegewa Jumbe, akaja Maalimu Seif na wale Magaidi basi na wewe umo. Ajenda ya kusema Bara sijui nini ni ya wazungu wanaotaka Mpemba aliyepo Mwanza afukuzwe kurudi kwao Zanzibar, Msukuma aliyepo chake chake afukuzwe arejee kwao Kishapu, Mzanzibar aliyemuoa Mnyamwezi na wanaishi Isevya Tabora basi watenganishwe na ndoa ife maana hao ni raia wa nchi mbili tofauti wanahitaji kukatiana VIZA ili kuishi Tanzania.Zanzibar inahitaji kupata "UHURU" kutoka kwa "MKOLONI" Chama Cha Mapinduzi, bado wapo kwenye utawala wa kikoloni, kujikwamua kutoka katika mikono hatari ya CCM ndio nusura yao pekee.
Hakuna cha "Masauni" wala "Nahodha" wala Kapteni wala Substitute, au lasivyo maisha yao yatabakia kua vile vile.
Nimesikia na Jecha nae anagombea huko, Lahaula Laukwata!!
Tongotongo za Uhuru zinaathali kubwa . Hata ukipewa Zanzibar yote utaona bado hauko huru. Utaanza kutafuta uhuru wingine.Zanzibar inahitaji kupata "UHURU" kutoka kwa "MKOLONI" Chama Cha Mapinduzi, bado wapo kwenye utawala wa kikoloni, kujikwamua kutoka katika mikono hatari ya CCM ndio nusura yao pekee.
Hakuna cha "Masauni" wala "Nahodha" wala Kapteni wala Substitute, au lasivyo maisha yao yatabakia kua vile vile.
Nakubaliana na wewe Slave Master Sultan Seif Sharif Hamad kamwe hatakuwa raisi wa ZanzibarNadhani huu mtego alotegewa Jumbe, akaja Maalimu Seif na wale Magaidi basi na wewe umo. Ajenda ya kusema Bara sijui nini ni ya wazungu wanaotaka Mpemba aliyepo Mwanza afukuzwe kurudi kwao Zanzibar, Msukuma aliyepo chake chake afukuzwe arejee kwao Kishapu, Mzanzibar aliyemuo Mnyamwezi na wanaishi Isevya Tabora basi watenganishwe na ndoa ife maana hao ni raia wa nchi mbili tofauti wanahitaji kukatiana VIZA ili kuishi Tanzania...
Zanzibar inahitaji Rais mlokoleCCM Watu wanaowaheshimu japo kuna muda wanawakosoa wameshayachoka sasa haya Majina ya sijui akina Mwinyi, Jumbe na Karume na badala yake wanataka Kuziona Sura mpya kama si ngeni ambazo nazo zitaiongoza Zanzibar kwa Mafanikio makubwa mno na yenye Tija.
Ninawaombeni CCM Mrithi wa Dkt. Ali Mohammed Shein anayemaliza muda wake atoke kwa Mmoja wa hawa niwatajao na ninaowakubali zaidi...