boy lanugo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 290
- 272
Mechi ya yanga na URA inaenda kuanza mda si mrefu.
Kikosi cha yanga cha Leo
1. Youthe rostand
2. Kesi
3. Mwinyi
4. Vicent dante
5. Yondani
6. Papy Kabamba Tshishimbi
7. Buswita
8. Makapu
9. Ajibu
10. Emanuel Martin
11. Juma Mahadhi
Dakika ya tano URA wanaonekana wamepania hapa
=====
ZANZIBAR: Klabu ya Yanga imetolewa katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe ya Mapinduzi baada ya kufungwa na URA ya Uganda.
Hii ni mara ya tatu Yanga SC kutolewa katika michuano hiyo kwa njia ya Penalti. Huku ikiwa ni mara ya pili kutolewa na URA ya Nchini Uganda.
Katika piga ni kupige za mikwaju ya penati Mzambia Obrey Chirwa ashindwa kuweka mpira kimiana na kumkabidhi goli kipa