Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] umefurahi mkuu.?Imeshakupa furaha. Piga makofi na vigelegele....
Chirwa ni mchezaji wa Simba au URA?Unampaje Chirwa apige penalty na wakati una Ajib na Yondani.?
Mkuu yule mpuuzi ni mjinga kapewa rungu ili apewe lawama kwa sababu alikua na mgomo wa mshaharaHivi chirwa alikuwa anawaza matrekta yake shambani au ??
Penati ya hovyo kabisaa
Hata Mimi nashangaa kikosi Cha bilioni kifugwe Cha laki kinaponage?Sikutegemea Yanga kuitoa timu iliyoitoa Simba.
Haaaaah unamkataa professional wenu kisa penaltyUnampaje Chirwa apige penalty na wakati una Ajib na Yondani.?
[emoji23]Chirwaaa, pumbavu sana huyu chirwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yanga inarudi kesho na boti ya Azam
Ukweli unabaki, kwa akili ya kawaida, Simba ni timu bora kwa Tz bara na visiwani, kama timu ikiifunga Simba maana yake Yanga haina nafasi ktk hiyo timu, itafungwa tu hata waende kwa mchawi gani. hapa ndio logic ya X kamfunga Y, na Y kamfunga Z basi X anampiga Z bila shida inapofanya kazi.Hata Mimi nashangaa kikosi Cha bilioni kifugwe Cha laki kinaponage?
Angelipwa chake angekuwa na maana mkuuChirwa hana maana.
Hiyo timu imemfunga Yanga goli ngapi ndani ya dk 90Ukweli unabaki, kwa akili ya kawaida, Simba ni timu bora kwa Tz bara na visiwani, kama timu ikiifunga Simba maana yake Yanga haina nafasi ktk hiyo timu, itafungwa tu hata waende kwa mchawi gani. hapa ndio logic ya X kamfunga Y, na Y kamfunga Z basi X anampiga Z bila shida inapofanya kazi.
Cha msingi ushindi!Hiyo timu imemfunga Yanga goli ngapi ndani ya dk 90
Wapangaji hawakua na akili sawa. Penalty ya mwisho angemaliza Yondani.Haaaaah unamkataa professional wenu kisa penalty