ZANZIBAR: Yanga SC yang'oka Mapinduzi Cup baada ya Chirwa kumkabidhi mpira kipa

Hata Mimi nashangaa kikosi Cha bilioni kifugwe Cha laki kinaponage?
Ukweli unabaki, kwa akili ya kawaida, Simba ni timu bora kwa Tz bara na visiwani, kama timu ikiifunga Simba maana yake Yanga haina nafasi ktk hiyo timu, itafungwa tu hata waende kwa mchawi gani. hapa ndio logic ya X kamfunga Y, na Y kamfunga Z basi X anampiga Z bila shida inapofanya kazi.
 
Yaani huyu Chirwa amepiga Penati Ki Simbasimba tu.
Chirwa kaleta balaa Jamgwani...
Lakini tumemsamehe kwa kuwa alisawazisha goli dhidi ya Simba kwenye
Ligi ya VPL.
Sasa tuna
Asante Chirwa
balada ya
Asante Kwasi.
 
Ukweli unabaki, kwa akili ya kawaida, Simba ni timu bora kwa Tz bara na visiwani, kama timu ikiifunga Simba maana yake Yanga haina nafasi ktk hiyo timu, itafungwa tu hata waende kwa mchawi gani. hapa ndio logic ya X kamfunga Y, na Y kamfunga Z basi X anampiga Z bila shida inapofanya kazi.
Hiyo timu imemfunga Yanga goli ngapi ndani ya dk 90
 
Back
Top Bottom