Zanzibar yang'aa utalii kimataifa

Zanzibar yang'aa utalii kimataifa

NASIRIYA

Member
Joined
Dec 11, 2022
Posts
12
Reaction score
24
Zanzibar inatarajiwa kuwa mwenyeji wa onyesho kubwa la utalii la kimataifa ambalo litafanyika kwa siku mbili tarehe 23 na 24 mwezi Febuary mwaka 2023 katka hotel ya Golden tulip uwanja wa ndenge Zanzibar.

Lengo kuu la onyesho hilo ni kuhakikisha wanaifikia dunia na kuonesha zanzibar imefunguka ipo salama ili kuwahamasisha watatii kutoka mataifa mbalimbali kutembelea visiwani humo. Pia makampuni takribani 130 yanatarajiwa kuhudhuria onyesho hilo hadi sasa makampuni 95 tayari yamejisajili.
GOLDEN.jpg
 
Back
Top Bottom