Zanzibar yapiga marufuku ndoa za jinsia moja

Zanzibar yapiga marufuku ndoa za jinsia moja

Alitaka atokee kwenye tv, vinginevyo angeipiga marufuku kafu.
 
Democrasia ndo chanzo cha ushoga duniani!!inchi zinazojidai kutetea haki za binadam na demokrasia km marekan,wingereza,ufaransa ndio zinazoongoza kwa ushenz wa ushoga na usagaji!!,

pia,zanzibar hakukua na uhuru wa ndoa ya jinsia moja,so mtoa mada ungesema kua zanzibar yatunga sheria kuzuia ndoa za jinsia moja,lkn ukisema yapiga marufu kwani hapo zamani iliruhusiwa?

maashallah hongera kwa kulitambua hilo
 
Back
Top Bottom