Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
We jamaa nitakushtaki kwa uharibifu wa mbavu zangu.😂😂🤣Hivi kwanini Tanganyika tunakuwa roho mbaya namna hii?! Yaani wakati sisi tumefanikiwa kudhibiti hili gonjwa kwa 100% na hivi sasa hatuna kabisa maambukizi lakini tunashindwa kuwasaidia ndugu zetu Wazanzibar ili na wao wasiwe na maambukizi kama sisi?!
Ama kweli kikulacho kinguoni mwako!...
Who’s WHO?safi sana smz endeleeni kutoa hizi update ni muhimu sana kwa wananchi na nchi kwa ujumla ...
bara wao bado ila mtambue tu who watakuja kutoa vyeti kwa nchi zote zilizotoa ushilikiano kipindi cha janga hili na hapo ndio tutatafutana maana hakuna mtalii au msaada utaupata bila ya kuwa na certificate yao.
sawa sawa.nchi ndogo itayoonesha ushirikiano mzuri na who ndio zitaneemeka
Kuna watu wanaitazama sana WHO,wakati WHO haina hata habari na ulimwengu.Who’s WHO?
Dah!! Ni updated hio😅😅
Tanganyika covid 19 imedhibitiwa kwa 100% kwahyo hakuna maambukiziTakwimu za maambukizi mapya huku Tanganyika mbona hazitolewi tena?
Watendaji wamesusaTakwimu za maambukizi mapya huku Tanganyika mbona hazitolewi tena?
Nimeambiwa wametoka Tanganyika.Kwani unembiwa wagonjwa wametokea Bara?
Nchi yetu ina hela bwana hao mabeberu wasitutishenchi ndogo itayoonesha ushirikiano mzuri na who ndio zitaneemeka
Mapapai mkuu 7 yamefarikiWametumia kipimo gani?
safi sana smz endeleeni kutoa hizi update ni muhimu sana kwa wananchi na nchi kwa ujumla ...
bara wao bado ila mtambue tu who watakuja kutoa vyeti kwa nchi zote zilizotoa ushilikiano kipindi cha janga hili na hapo ndio tutatafutana maana hakuna mtalii au msaada utaupata bila ya kuwa na certificate yao.
Zanzibar wanategemea sana utalii kwenye mapato kwahiyo handling yao kwenye Covid19 inabidi iwe ya akili sana. Wakotuiga sisi huku wamekwisha ndio maana wao wameamua kujisemea ukweli au karibu na ukweli angalau
Sent using Jamii Forums for Iphone App
Huu ugonjwa usipotajwatajwa unasahau kama upo, mpaka ukutane na mtu kavaa mask au uingie JF kwa browser
Tuna yule Dada wa corona ...(alisikika mmasai akiongea)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania bara hatuna waziri wa afya!