Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

Hivi kwanini Tanganyika tunakuwa roho mbaya namna hii?! Yaani wakati sisi tumefanikiwa kudhibiti hili gonjwa kwa 100% na hivi sasa hatuna kabisa maambukizi lakini tunashindwa kuwasaidia ndugu zetu Wazanzibar ili na wao wasiwe na maambukizi kama sisi?!

Ama kweli kikulacho kinguoni mwako!...
We jamaa nitakushtaki kwa uharibifu wa mbavu zangu.😂😂🤣
 
safi sana smz endeleeni kutoa hizi update ni muhimu sana kwa wananchi na nchi kwa ujumla ...

bara wao bado ila mtambue tu who watakuja kutoa vyeti kwa nchi zote zilizotoa ushilikiano kipindi cha janga hili na hapo ndio tutatafutana maana hakuna mtalii au msaada utaupata bila ya kuwa na certificate yao.
Who’s WHO?
 
Majuzi walisema sijui vifaa vimekuwaje wanavifunga tena...Kama hizi ni za kweli well&good..La sivyo mhh!!!
 
Safi Zanzibar kwa kutoa updates, asili ya hili gonjwa mtu anapopata taarifa mpya ndipo hata anajua achukue tahadhari vipi, acha upande wa pili wa muungano waendelee kuwa kimya, wakisubiri kelele za mitandaoni kwanza ndipo zitatolewa taarifa za mwenendo wa covid 19
 
Bora iwe hivyo maana kuna watu wamejimilikisha nchi.
safi sana smz endeleeni kutoa hizi update ni muhimu sana kwa wananchi na nchi kwa ujumla ...

bara wao bado ila mtambue tu who watakuja kutoa vyeti kwa nchi zote zilizotoa ushilikiano kipindi cha janga hili na hapo ndio tutatafutana maana hakuna mtalii au msaada utaupata bila ya kuwa na certificate yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hata sisi tunategemea utalii kwa kiasi kikubwa ndo maana tuligoma kukataa kupokea watalii wakati wa janga limeanza kuenea.
Zanzibar wanategemea sana utalii kwenye mapato kwahiyo handling yao kwenye Covid19 inabidi iwe ya akili sana. Wakotuiga sisi huku wamekwisha ndio maana wao wameamua kujisemea ukweli au karibu na ukweli angalau

Sent using Jamii Forums for Iphone App

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom