Zanzibari si sehemu ya serikali ya Jamhuri? Hebu ona bei yao ya mafuta

BestOfMyKind

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
1,350
Reaction score
1,464
hii ni taarifa ya Zura(EWURA ya Zenji) mwezi huu tar 4 juu ya bei ya mafuta:

Pettrol - Tsh.2642 , Diesel- Tsh.2644

na hii ni taarifa ya EWURA ya jamhuri tarehe na mwezi kama wa ZURA; Petrol - Tsh. 3148, Diesel - 3258

Maisha tunayoishi huku bara wapemba wasingeweza.
 
tofauti ya karibuni sh 500 kwenye kila lita
 
Kwenye mafuta Hapo ambao hawaendagi sheli wanachukulia poa tu,
 
1. Ndio maana hawataki muungano, sisi tunawarudisha nyuma.

2. Sisi watanganyika haya tunayataka wenyewe kwa kuwachekea viongozi madhalimu.
 
Huku Bara tunasubiri tuone hiyo June mosi, badiliko la ruzuku. Ee Mwenyezi Mungu utusaidie!

YESU NI BWANA.
 
Kwenye mafuta Hapo ambao hawaendagi sheli wanachukulia poa tu,
Labda kwa wale wajinga kupindukia. Maana bei za mafuta huathiri kila shughuli za kiuchumi. Bei ya mafuta hugusa kila eneo la maisha.

Jesus is Savior
 
Sunajua tena nyumba ndogo lazima ipelekewe nyama..ili iendelee kutoa mbususu kiulaini..

Acha tuwahudumie.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huna habari kuwa Zanzibar siku hizi ndio Chato ya wakati ule?

Kwenye mafuta Hapo ambao hawaendagi sheli wanachukulia poa tu,

1. Ndio maana hawataki muungano, sisi tunawarudisha nyuma.

2. Sisi watanganyika haya tunayataka wenyewe kwa kuwachekea viongozi madhalimu.

Huku Bara tunasubiri tuone hiyo June mosi, badiliko la ruzuku. Ee Mwenyezi Mungu utusaidie!

YESU NI BWANA.

Labda kwa wale wajinga kupindukia. Maana bei za mafuta huathiri kila shughuli za kiuchumi. Bei ya mafuta hugusa kila eneo la maisha.

Jesus is Savior

View attachment 2239304
Msikilize wakili msomi ndo utajua kama muungano upo au ni nchi mbili tofauti.

Yesu ataleta mafuta ya bure au vipi ?? natusubiri tu

Wanafaidi

Matunda ya uvamizi ???

Sunajua tena nyumba ndogo lazima ipelekewe nyama..ili iendelee kutoa mbususu kiulaini..

Acha tuwahudumie.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…