#COVID19 Zanzibar’s Abeid Amani Karume Airport is failing on COVID-19 safety protocols

#COVID19 Zanzibar’s Abeid Amani Karume Airport is failing on COVID-19 safety protocols

Mwingine alikua childminder analetewa watoto saa moja asubuhi, anawapa breakfast na kuwapeleka shule, saa tisa anakwenda kuwachukua anakaa nao mpaka saa 12 jioni.

Sasa wazazi wa watoto wote wanafanyia kazi nyumbani. Kubarua kimeota nyasi.

Hali ni mbaya sana huku
Mungu atulinde kwa kweli
 
Hiki kirusi cha kutoka SA inaonekana ndio kinatuyumbisha zaidi ya kile cha mwanzo, kinaweza kuwa ndio kibaya zaidi halafu bahati mbaya wengi wetu hata hawana habari kama Corona ipo, bado wanaamini kauli za wanasiasa tu.

Mfano mzuri wa jinsi hatuna habari ni huo uwanja wa ndege huko Zanzibar, hakuna health measures za maana zinazochukuliwa, mpaka wazungu wanatushangaa, halafu tukiitwa manyani tunakasirika.

Halafu hao wa SA walio kuja Zanzibar tunaambiwa eti wazungu, wazungu gani wanaomba lift gari za mchanga? Wamekimbia SA kuja Zanzibar kuleta covid19, na wengine kuomba kazi kwenye mahotel,

Uhamiaji waangalie hawa jamaa na kutotoa vibali vya kufanyia Kazi, wakati Sisi wenye we hatuna kazi
 
Hapa ilitakiwa kila mtalii akiingingia anapatiwa tangawizi ya moto kweli na kufushwa mchanganyiko maalumu wenye tangawizi na karafuuu 🥶 🥶 🥶 🥶 😛😛 ndani yake
 
Back
Top Bottom