Hiki kirusi cha kutoka SA inaonekana ndio kinatuyumbisha zaidi ya kile cha mwanzo, kinaweza kuwa ndio kibaya zaidi halafu bahati mbaya wengi wetu hata hawana habari kama Corona ipo, bado wanaamini kauli za wanasiasa tu.
Mfano mzuri wa jinsi hatuna habari ni huo uwanja wa ndege huko Zanzibar, hakuna health measures za maana zinazochukuliwa, mpaka wazungu wanatushangaa, halafu tukiitwa manyani tunakasirika.