tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,315
We ya nini kwani kaka??
Mikate, jaribu kuyala kwa chai!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah! Kuna watu wanaongea ugolo humu!! Kama hujui kitu bora ukae kimya kama mimi,na wenye ufahamu wakatujuza.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mabumunda umenikumbusha mbali sana mkuuUtomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda
Mambo ya organic chemistryUmenikumbusha mbali Mkuu. Monomer, Dimer na Polymer.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh yanatengenezwa na ngano sijui
blame no body
Duuh!Mikate, jaribu kuyala kwa chai!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mikate, jaribu kuyala kwa chai!
Umewaza sana Mkuu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah kweli usingizi mtamu...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nimekaa najiuliza kuwa ni zao gani hutumika kutengeneza magodoro bila majibu....
Sasa najua humu kuna wajuzi wa kila aina watanijulisha tu. Na wengine ni wafanyakazi wa viwanda hivyo.
Ni hayo Tu.
[HASHTAG]#GET[/HASHTAG] WELL LISSU
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa. Hiyo ngano inafanywaje asee. Kumbe niko nyuma ehNgano mkuu. Godoro ni mkate ulioimarishwa!
Just kidding [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Cheki hapa; How Are Latex Mattresses Made?. Ingawa kuna magodoro ya spring pia!!
Hii ni chemia ya wapi mbona siikumbuki au niya advance mimi kemia niliishia form 4Utomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda
Google nimejaribu ila sijaridhikaUmeshindwa kuingia hata GuGo?
aeiou
anhaa sawaPolymer inaitwa Polyurethane
OK. Nimekupata mkuuZao la mpira au rubber tree ndio hutumika kutengeneza magodoro ila process zake nadhani mambo ya organic chemistry yanahusika kwa sana.