Zao gani hutumika kutengeneza magodoro?

Zao gani hutumika kutengeneza magodoro?

Zao la mpira au rubber tree ndio hutumika kutengeneza magodoro ila process zake nadhani mambo ya organic chemistry yanahusika kwa sana.
 
Inategemea unazungumzia magodoro ya aina gani,

Kuna ya sufi
Pamba
Randa
Mpira

Wewe unazungumzia magodoro ya aina gani?

_ where ever you are remember me_
 
Mi nijuavyo ni kwamba mikate iliyoisha muda wake ndio hukusanywa ili kutengeneza magodoro, nakumbuka nikiwa jeshini makutupora maafande walikuwa wakituambia kuwa " kama mkate hautoshi kata godoro unywee chai" bapa ni baada ya kulalamika kuwa mkate hautoshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekaa najiuliza kuwa ni zao gani hutumika kutengeneza magodoro bila majibu....

Sasa najua humu kuna wajuzi wa kila aina watanijulisha tu. Na wengine ni wafanyakazi wa viwanda hivyo.

Ni hayo Tu.

[HASHTAG]#GET[/HASHTAG] WELL LISSU

Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaza sana Mkuu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] daah kweli usingizi mtamu...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom