King_Villa
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 575
- 380
- Thread starter
-
- #41
Kwenye Kilimo cha Magodoro, au??
duuuhLabda ugoogle. Nilienda DODOMA ASILI Nikakuta Mapipa ya kutosha tu
Mambo mazito hayaMi nijuavyo ni kwamba mikate iliyoisha muda wake ndio hukusanywa ili kutengeneza magodoro, nakumbuka nikiwa jeshini makutupora maafande walikuwa wakituambia kuwa " kama mkate hautoshi kata godoro unywee chai" bapa ni baada ya kulalamika kuwa mkate hautoshi
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahUtomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda
nimecheka sana aseeUtomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda
Nimekuadd kwenye list ya member wa livaLeo sikua na mpango wa kucheka.liverpool tumefungwa.ila jf kiboko we jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka unatokea kanda ya kati. Lugha yako imejinasibu kabisaUtomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda
Magodoro yakawaidaInategemea unazungumzia magodoro ya aina gani,
Kuna ya sufi
Pamba
Randa
Mpira
Wewe unazungumzia magodoro ya aina gani?
_ where ever you are remember me_
Umepita kambi moja namie mkuu gonga like hapa veyula twende zetuMi nijuavyo ni kwamba mikate iliyoisha muda wake ndio hukusanywa ili kutengeneza magodoro, nakumbuka nikiwa jeshini makutupora maafande walikuwa wakituambia kuwa " kama mkate hautoshi kata godoro unywee chai" bapa ni baada ya kulalamika kuwa mkate hautoshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka mpaka basii mkuuuUtomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda
Duu umeuaaa ngoja nilale mbavu zitulie nitarudiUtomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda
Aisee we jamaa umefanya nicheke snUtomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda
Nimekaa najiuliza kuwa ni zao gani hutumika kutengeneza magodoro bila majibu....
Sasa najua humu kuna wajuzi wa kila aina watanijulisha tu. Na wengine ni wafanyakazi wa viwanda hivyo.
Ni hayo Tu.
[HASHTAG]#GET[/HASHTAG] WELL LISSU
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiongezea tu, kuna magodoro mengine yanatengenezwa kwa:Inategemea unazungumzia magodoro ya aina gani,
Kuna ya sufi
Pamba
Randa
Mpira
Wewe unazungumzia magodoro ya aina gani?
_ where ever you are remember me_