Zao gani hutumika kutengeneza magodoro?

Zao gani hutumika kutengeneza magodoro?

Mi nijuavyo ni kwamba mikate iliyoisha muda wake ndio hukusanywa ili kutengeneza magodoro, nakumbuka nikiwa jeshini makutupora maafande walikuwa wakituambia kuwa " kama mkate hautoshi kata godoro unywee chai" bapa ni baada ya kulalamika kuwa mkate hautoshi

Sent using Jamii Forums mobile app
Umepita kambi moja namie mkuu gonga like hapa veyula twende zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utomvu wa mnyaa unachanganywa na amira. Ndo maana panya wanayapenda wanadhani ni mabumunda
Aisee we jamaa umefanya nicheke sn

I am your Professional Logo Designer :: LOGORIDDIM :: Gifted by The Almighty. Trusted by Humans :: +255 688 999 006 (Calls, Telegram & Whatsapp)
 
Nimekaa najiuliza kuwa ni zao gani hutumika kutengeneza magodoro bila majibu....

Sasa najua humu kuna wajuzi wa kila aina watanijulisha tu. Na wengine ni wafanyakazi wa viwanda hivyo.

Ni hayo Tu.

[HASHTAG]#GET[/HASHTAG] WELL LISSU

Sent using Jamii Forums mobile app


Inategemea unazungumzia magodoro ya aina gani,

Kuna ya sufi
Pamba
Randa
Mpira

Wewe unazungumzia magodoro ya aina gani?

_ where ever you are remember me_
Nikiongezea tu, kuna magodoro mengine yanatengenezwa kwa:
- Manyoya ya ndege (kuku, bata, ndege wengine).
- Spring za chuma (VONO).
- Katani au mkonge.

Haya magodoro mepesi ya siku hizi (foam) hutengenezwa na mchanganyiko wa kemikali na maji. Huu mchanganyiko hutoa mapovu. Haya mapovu yanaumbwa katika mold halafu yanakatwa katika size unayotaka.

Kwa ujumla hizi kemikali ni polymers ambazo zinazotengeneza hii polyurethen au foam. Soma hapo chini au fuatilia hiyo link kama unataka kujua mpaka historia yake.

====================
Most foams consist of the following chemicals: 50% polyol, 40% polyisocyanates, and 10% water and other chemicals. Polyisocyanates and polyols are liquid polymers that, when combined with water, produce an exothermic (heat generating) reaction forming the polyurethane.

How foam rubber is made - material, production process, manufacture ...

www.madehow.com › Volume-5 › Foam...

More results





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom